But as long as we pretend Ati huwa tunaenjoy our friends wins kuna tu kale kajelousy huwa kanakutandika bwana like deep down unafeel kuwa ni wewe ingefaa ukuwa in that position. Kwa kizungu inaitwa relative deprivation yaani kuna kale kafeeling of being left behind by your peers. Mimi kama sasa Ile siku rafiki yangu Ledama alinunua gari bwana sikulala siku tatu nilikuwa nafikiria Tu ni nini anafanya hii town yenye Mimi sifanyi only to realise that alinunua through gambling na hakunitumiw hizo odds bwana.