@JamesKahunda@EmaboyNic Pata yako mapema tulia aisee, kuna jamaa mbeya alikuwa anatembea na mke wa mtu jamaa akajua akamroga, jamaa alidindisha mpaka siku amefariki, mdindo wa kupiga shoi na sio wa mkojo wala nini. Vuta picha imesimama inataka shoo.
@JamesKahunda@EmaboyNic Pia nilikuwa na mke wa mwingine, yule jamaa nae akaja akawa anahisi tu kuwa ni mimi akawa amechukua namba yangu kila muda ananipigia kwa namba tofauti tofauti. Oyaa akili haikutulia kabisa. Vitu vya watu sio dili mwanangu, ni vyema tu tuoe mapema tu uile yako unayoifuga ndani