@hamis_abas Upo sahihi hii City angekuwa nayo kipara mpira ungekuwa unabondwa vilivyo ila sasa hivi ile identity haipo tena kama unacheza na Stock city tu.
@mfalmembishi@MushiJudica@JmPascol@InnocentJLS Asante kwa kutuapriciate mzee Sukuma people. Hii ya Mkwere nilikuwa nampa mfano tu huyu ila kuwapa wachaga nchi hapana ni mabinafsi watapola kila kitu mfano yule jamaa wa Hai alijibinafsishia chama akawa anakifanyia biashara.
@hamis_abas Sisi msimu huu tunatengeneza timu AI tutaendelea nae ikibidi uata 3yrs yakuboresha kikosi mwanga keshatuonyesha sisi siyo kama Manjesta timu haieleweki kama inajemgwa ama ipo kwenye kilele.