@mbunge_taifa255 Kama alichosema huyu mtumishi kuhusu "tayari sumu iko mwilini" na "wanaweka chumvi kwenye mti mkubwa" inamhusu Lisu, basi @MariaSTsehai@ChademaTZ2@HildaNewton21@TitoMagoti Kuna jambo linatakiwa kufanywa immediately. TL's life is in great danger
Maneno mengi, malalamiko kibao ila solution ya tatizo ni moja tu.
Toeni haki kwa Watanzania, wapeni Watanzania haki ya kuchagua wabunge wao, haki ya kuchagua Chama cha kutawala, wapeni Watanzania katiba mpya na uchaguzi mpya urudiwa. Tuweke serikali mpya ya wananchi then serikali mpya ifanye accountability ya October 29. Fanyeni hayo then muone healing itakavyoanza Tanzania.
Toeni haki alafu muone kama kuna diaspora atahangaika na issue za Tz au kama kuna mwanaharakati atasikilizwa na WaTz.
Tatizo mnatafuta mchawi wakati mmeamua kunyima haki wananchi na mmegoma watu kuwajibishwa kwa mauaji ya October 29.
‼️🚨TAHADHARI‼️
Mpango wa kumlisha sumu au kumpulizia gesi ya sumu Tundu Lissu itawatia hatiani
👉🏽 Mkuu wa gereza
👉🏽Mahakama
👉🏽 DPP
Ila waliopanga na kutaka kutekeleza huu uhalifu akina Abdul na Sumai hawawezi kutiwa hatiani!
Msifuate maagizo HARAMU - mwachieni Tundu Lissu MARA MOJA!
@MK47TA Kweli Kuna kusoma Kuna kuelemika. Ndo maana watu wanakataa ujinga. Rais akisema mama yako afanye chochote kiovu mnapiga makofi kwasababu amesema. Mungu aturehemu kwa kweli
@Eric__Bernard Nadhana watu wengi sana Znz na bara hawajui yapi si ya muungank na yapi ya muungano. Maanake yanatakiwa kufundisha mashuleni na kutolewa Elimu. Kwa ajili ya kuondoa kuwaona wenzetu Wana ROHO ZA KISHETANI. Kwetu ardhi wamiliki kwao aaa, kwetu, watibuwe Bure kwao pesa. Na mengine.
@Sisimizi3 Lakini haipingi ukweli kwamba anateseka kwa kutaka haki kwa kila mtanzania. Na Yesu anapenda haki kwa kila mwanadamu. Waovu ambao ni wa shetani, hawataki haki, wanapenda dhulma. Sasa hapo utasemaje. Na Yesu anasema tumfuaye yeye kwa MATENDO na si kwa mwonekano.
@Royal_Tv_Tz Kwa hiyo ni kwamba anasema Jeshi walihusika na kila kilichotokea. Sasa uchunguzi ni wa nini. Hivi Hawa watu wanaelewa wanavyokhwa wanaongea
Warning ⚠️: Graphic thread — proceed at your own discretion.
These are some of the unarmed citizens who were brutally massacred by samia suluhu hassan during the October 2025 sham election. Her own commission, under Chande, admits to 518 deaths—but that number is a deliberate understatement, far below the reality.
The truth is devastating: thousands of families have mourned, and many are still searching for their loved ones. People have disappeared without a trace. @CNNAfrica (@LarryMadowo) has uncovered mass graves.
In an attempt to mislead the public, the Chande Commission has dismissed these images as AI-generated. Meanwhile, @BenDoBrown has done critical work verifying their authenticity.
This was not an accident. This was not chaos. This was a massacre—and it demands accountability.
@UN@UNHumanRights@HouseForeignGOP@SFRCdems@SenateForeign@StateDeputySpox@EUCouncil
#TanzaniaMassacre #SamiaMustGo #Accountability