Elon mask owns Tesla, he also owns “X” (Twitter).
Elon is running 5Billions dollar companies, but still anapata muda wa kuingia Twitter kupost, na watu tuna comment kwenye post yake na anakuja ana reply comments zetu, tena siku hiyo hiyo!!
Yani pamoja na ubusy wake lakini anapata muda wa kujibu Tweets za watu!!
Unamtext Demu anachukua siku mbili-tatu kureply text yako eti anakwambia alikuwa BUSY!! 🚮
Usivuke 2025 na hiyo TAKATAKA🚮🚮
Niliwaambia siri ya ku-avoid drunk village uncle kuku sumbua kila saa umpatie pesa ya kutoa lock ni; Akikuja kukuomba mia, mpatie mia Tano na umwambie akurudishie change. Hakuna siku mlevi ataku rudishia change ndugu, next time atakua anakuona ni yeye atakua anajificha.
🥇Gari hii imechukua tuzo ya gari bora nchini japani mwaka 1999 tusisahau kwamba hakuna taifa linaizidi japani kwa teknolojia 🤝
4-Cylinders na ujazo wa 2L ikiwa na mfumo mara mbili wa kufungua valve unaoitwa VVT-i ikiwa na mana ya Variable Valve Timing with Intelligence huu ulikuja mwaka 1995 ndani ya kampuni ya TOYOTA ukiwa mbadala wa mfumo wa VVT yani Variable Valve Timing ni mfumo unaoruhusu kutokea kwa mlipuko ndani ya injini katika kiwango cha chini kabisa cha mafuta hivyo unasaidia kuweka matumizi sahihi ya mafuta.
There's a day nilibuy skuma. Doo ikaingia on my way to the house. Nilipiga U turn nikazitupia huko kwa dustbins za kalocal. Nilirudi kejani Monday from friday.
Wanaume wanafanya chochote kwa wake zao & watoto katika hali yeyote
Wana-take risk kwa ajili yao bila kutegemea malipo yeyote.
Wanachotaka wanaume ni kuwa appreciated kwa wanachokifanya
Hii hutupatia nguvu sana.
Achana na mwanamke anayehitaji zaidi na kupuuzia juhudi zako.
Braking and stopping system
Mfumo wa kuzima au kusimama gari pale panapo hitajika ina mfumo wa ABS unaomsaidia dereva kusimama gari pale ambapo kuna jambo la ghafla ambao uweza mpaka kuzima gari pale inapobidi.
(ABS) ikimaanisha Anti-lock Braking System uweza kusaidia kupima speed ya gari pia kuzuia tairi ku-lock pindi unapoweka brake.
Gari hiyo ya kiingereza iliboreshwa sambamba na Land rover discovery kwa kutumia kwa mara ya kwanza engine toleo la kwanza ya 200TDi (Turbocharged Direct Injection) iliyoundwa mwaka 1989.
Nini kinafanya gari hii kua miongoni mwa gari bora zaidi pia pembeni ya TOYOTALand Cruiser 70 series,Hilux ,Ford Ranger ,Raptor pia na mengineyo?🤔