@JosmanStima Mnateteag upuuz tu kw dizzm day waker 30k anashindwa kufanya kaz anajiliza huyu nae n kisoda huwez kung'ang'an na kaz za kuluka majukwaan then maisha yakawa magum ukarud kjiliza kwenye media upuuz tu
Hii podcast ni kama haikwepeki 😁,
Sababu ni kijana aliyetoboa na vijana hustlers wote tuna ndoto za kutoboa hemu niisikilize before judging kitu chochote…
hivi mtu anawezaje kufungua kampuni yenye bidhaa sawa na kampuni aliyokuwa nafanyia kazi kama alikua hamuibii vunja bei aliyoa wapi pesa yote hiyo ya kufuata mzigo wa ma-jeans China na alifanya kazi miaka mingapi kwa vunja.??🤔🤔