Miongoni mwa Malalamiko ya Yanga kwenda serikali ni Tuzo ya Kocha Bora ya Mwezi Oktoba, Kwamba Kocha wao Miguel Gamondi alistahili tuzo hiyo wakati huohuo Yanga wanasahau kwamba mwezi huo Oktoba Miguel Gamondi alitozwa faini kutokana na vitendo vya Utovu wa nidhamu alipokuwa