@SafaricomPLC@Safaricom_Care you cannot afford to be on downtime at this time. You have forced us to download your apps and now they are not working.I need to access my Mpesa ASAP. USSD is not functioning as well.
LIFE STYLE AUDIT ni muhimu kwa watawala.
Mtu anayejiita waziri wa afya anaingia katika kusanyiko la MaCCM, wanaliita ‘bunge’ amebeba makaratasi ya bajeti katika begi la Louis Vuitton Shopper Tote MM. Bei inakadiriwa kuwa $4,850 (sawa na TSh 12.5 milioni)
Ni haki ya kila mtu kuvaa na kubeba chochote. Si kosa kuwa na mali halali. Hata kama ni mali halali ya biashara zake, kanuni ya kubana matumizi/unyenyekevu (frugality) inamtaka kiongozi wa umma kuwa na kiasi.
Unapobeba begi la TSh 12.5 milioni kwenda kusoma bajeti ya Wizara ya Afya ambayo inalalamikia upungufu wa dawa, vitanda, na vifaa tiba vijijini unatuma ujumbe wa kutojali (tone deafness). Hii ni akili ya kawaida tu.
Watumishi wa umma katika nchi zilizoendelea wanafuata kanuni zisizo rasmi (norms) na kutokuwa na matumizi ya anasa (Frugality in Public Service) kuepuka matumizi ya maonyesho (Ostentatious Consumption).
Kama kiongozi ana biashara kubwa kuliko mshahara wake, ataulizwa; Je, muda wa serikali unatumika kukuza biashara hizo? Je, kuna upendeleo wa kisera unaonufaisha biashara zake? Wealth Declaration.
Uingereza, “public accountability” na shinikizo la nguvu ya vyombo vya habari (tabloids) ni mkali sana. Viongozi wa umma wanaishi maisha ya kawaida (relatable) kuepuka kukiweka mbali na matatizo ya walipakodi.
Kumuona Waziri Mkuu wa Uingereza au Meya wa London katika Tube (Underground Train) si ajabu. Hii inatuma ujumbe kuwa: “Kama usafiri huu ni mbovu kwenu, ni mbovu na kwangu pia, nitaufanyia kazi.”
Tanzania kiongozi anapopita na msafara wa magari ya kifahari (V8) yenye vioo vyeusi na ving’ora, anajitenga na kero za barabara, foleni, na joto ambazo mwananchi wa kawaida anapambana nazo. Hajali kero za wananchi.
Magazeti kama The Sun, The Daily Mail, au The Mirror yana jicho la mwewe. Yakimnasa Waziri anatumia fedha za walipa kodi kununua hata kitu kidogo cha anasa, inakuwa kichwa cha habari (headline) wiki nzima.
Waziri na wabunge Sweden hawana magari ya serikali wala madereva binafsi. Wanapanda usafiri wa umma. Ofisi zao ni zenye ukubwa wa mita 8 za mraba na wanaishi katika ‘studio apartments’ za serikali
Serikali hailipii watumishi wa ndani kwa ajili ya viongozi. Kama unataka mtu wa kukufanyia usafi au kukufulia, unamlipa kwa mshahara wako binafsi. Hii inawafanya viongozi waishi maisha ya uhalisia wa kiuchumi.
Nchi za Nordic (Norway, Denmark, Finland) kuna sheria ya Jante (Janteloven) — kanuni inayosema “usijione bora kuliko wengine, usionyeshe utajiri au anasa.” Hii inawafanya viongozi waishi maisha ya kawaida tu.
Hii ni kanuni ya kisaikolojia inayopinga mtu kujiona bora kuliko jamii inayomzunguka (Individual Greatness). Kiongozi anayebeba begi la mamilioni anachukuliwa aliyepungukiwa na ueledi na asiyethamini jamii yake.
Uingereza, “public outcry” ina nguvu ya kumfanya waziri ajiuzulu. Tanzania , kuna utamaduni mwananchi akithubutu kuhoji ataonekana mchochezi, na siyo kama mdau anayehitaji uwazi wa matumizi ya mali za umma.
Tanzania kufika huko, lazima kuwepo sheria kali za maadili zinazotekelezeka. Vyombo vya habari huru vinavyohoji bila hofu ya kifungo. Uelewa wa wananchi kuwa wao ndio “mabosi” na kiongozi ni “mtumishi.”
Watu wa aina hii wanaweza kujitetea wanazo biashara zao binafsi. Uongozi ni kioo. Unapobeba bajeti ya wizara inayohudumia masikini umeshika bidhaa ya anasa, unajenga ukuta wa kisaikolojia na wananchi.
Rufiji, wananchi wanapambana na mafuriko, ukosefu wa huduma bora za afya, na miundombinu mibovu ya barabara, kuona kiongozi wao na bidhaa ya anasa ya mamilioni ya shilingi ni dhihaka kwa umaskini wao.
Charlene Ruto is Bed-To-Bed Midfielder.
From Daddy Owen to Ochieng
From Ochieng to Ghanaian Associate
From Ghanaian Associate to sijui nani.
Wamechovya chovya huku nje bana.
Sio poa. President daughter is suffering everywhere yet she has money. KoT Socha amesema anataka rejects.
Charlene Ruto is been posting her sexy photos online but no man is interested except Daddy Owen but later she was dumped 😔 😢
Ruto seems to be tired with her. Soon may chase her out of the family 😂
"Charlene, mbona hunasi wanaume, enda ukatafte kwa streets"
4 men in a raw and she's not getting married!!
Naisha 😂
Yes,
Jirongo is dead
He was driving a German Merchine
Head on collision with these cheap buses carrying 400 Luhyas per trip
Nkt
Mungu, ya Ruto haifiki?