Matatu Hatari Kama Nyoka
Watu watano wamefariki na 12 kujeruhiwa kufuatia madoido, mbwembwe na ushindani uliopo kwenye matatu za kisasa jijini Nairobi (nganya).
Matatu hiyo ilianguka ikifanya sarakasi hatari zinazojulikana kama "Manyoka".
#NTVJioni@loftymatambo@labaanshabaan
President William Ruto has defended the establishment of a new medical quarantine facility at Laikipia Air Base, describing it as a routine and necessary measure to protect the country from high-risk diseases such as Ebola.
https://t.co/TYaB15gZgh