@DrAlmandoMendez Acc yangu kwanza ilipotea kwa style hii hiyo siku ilikuwa ktk space tunainuana kama vichaa dadeqqq twitter nyie ni mbwa nashangaa baada ya muda kila nikifungua unaogoma ad watume pin code nimeomba bado ad leo
JEZI Zimenyooka Kama Mkia Wa Ngiri
Naomba RT Yako 🙏
BEI: 25000
SIZE: S,M,L,XL,XXL
CONTACT: WhatsApp Or Call ☎️ 0682123872
LOCATION: Kkoo Mchikichi Na Manyema
DELIVERY 🚚: Ndani Ya Nchi Na Nje Ya Nchi
Bonyeza Link👇 Uje WhatsApp Direct
https://t.co/oJuwLwxb57
@BillyTronix1 Niliacha season 1 ep ya 6 mara paaaah nakuja kumuona boyd tena ktk FROM alafu mapicha picha yale yale ya LOST nikasema huyu jamaa series za kuumizana kichwa ndo anapenda
Siku hizi ishakua Mtizi kudownload YouTube videos Kwa kutumia simu hata huyu mkombozi seal nae anafeli ...na baadhi ya site nazo zinafeli so share trick yako unayotumia kupakua hizi vids za YouTube na Kwa quality kubwa 👇