#MariaSpaces#KatibaMpya#WenyeNchiWananchi
"Hoja yoyote ya kumwondosha Rais, lazima Katibu wa Bunge ataijua, na Katibu wa Bunge anateuliwa na Rais, kwa hivyo Katibu atakimbia kwenda kumweleza Rais."
@fatma_karume
https://t.co/Tyonhfs2dD
Udhaifu wa Bunge la Sasa ni spika wake Job Ndugai
Uimara wa Bunge la Sitta ilitokana na Sitta
Sisi wananchi tunataka Katiba Mpya yenye Bunge imara .
#MariaSpaces#KatibaMpya#WenyeNchiWananchi
https://t.co/k5xxGN0wKn
Katiba Mpya ni Lazima, Haikwepeki na ni takwa la wananchi wa Tanzania wote.
Watanzania tunataka Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi right now @SuluhuSamia@tanpol
Mungu wetu ni mkali sana.
Waliombambikia kesi FAM wapo jela, aliyebariki hayo yupo kaburini. Aliyetaka kupanda cheo kupitia uzandiki huu anaishi kizani, aliyetakiwa kugawa cheo kwa uzandiki huu yupo chini ya udongo.
Na wanaondeleza uzandiki huu watalipwa sawasawa!
Waz. 11:21