THANK YOU @fistonmayele9 🙏🏽
Uongozi wa Young Africans SC unapenda kuutarifu Umma kuwa tumefikia makubaliano na Klabu ya Pyramids FC kumnunua mchezaji wetu Fiston Mayele.
Kwa Taarifa zaidi tembelea Yanga SC APP📲
#timuyawananchi#daimambelenyumamwiko
Simba maarufu Kaskazini mwa Tanzania aliyeishi katika Hifadhi ya Serengeti, ‘Bob Junior’ ameuawa baada ya kushambuliwa na kundi la Simba watatu waliokuwa na lengo la muda mrefu la kuuangusha utawala wake, Mamlaka za hifadhi nchini humo zimethibitisha kifo hicho kilichotokea Jumamosi iliyopita.
Simba hao watatu waliowahi kujaribu kujisimika ufalme walilelewa na ‘Bob Junior’ tangu wakiwa wadogo lakini majaribio ya kufanya mapinduzi mara kadhaa ili kuuangusha utawala wa Bob Junior haukufanikiwa na badala yake walikimbizwa katika maeneo hayo, yaliyopo mashariki mwa hifadhi hiyo.
Simba ‘Bob Junior’ akisaidiana na kaka yake, Joel walitawala kwa zaidi ya miaka mitano na kuwa miongoni mwa Simba waliotawala kwa kipindi kirefu zaidi kabla ya kufanyika mapinduzi.
Mhifadhi Mwandamizi wa hifadhi hiyo, Fredy Shirima ameieleza kuwa tukio hilo ni asilia katika uhifadhi lakini pia hutokea zaidi kwa Simba ambao hushikilia ngome dhidi ya wengine wanaoitaka ngome.
Shirima anasema, "Bob Junior aliuawa siku ya Machi 11, akishambuliwa na Simba watatu ambao walikuwa sehemu ya kundi la simba saba waliokuwa wanapanga mapinduzi.
“…kwa kawaida hatuwezi kuingilia maisha ya wanyama pori… hivyo kilichotokea kilipangwa miongoni mwao ikiwa ni vita vya kimapinduzi na simba huwa wana tabia hiyo ambapo mtawala anapozeeka hutolewa kimabavu,” alieleza.
CHIMBUKO LA UMAARUFU WA ‘BOB JUNIOR’
Kwa mujibu wa mamlaka hiyo, ni Simba aliyejibebea sifa kwa kuwa mpole na anayekuwa na utulivu anapoona watalii.
Shirima anasema, ‘Bob Junior’ pia alikuwa na sifa za kipekee kama vile kuwa na manyoya mengi zaidi kuliko simba wengine lakini mwenye kuvutia kwa muonekano na hutulia pale anapopigwa picha.
Wadau wa utalii wamesikitishwa na kifo cha simba huyo, huku ikimtaja kuwa ndiyo Simba bora na mtulivu kuwahi kuonekana katika hifadhi ya Serengeti.
Kwa mujibu wa ripoti mbalimbali,Tanzania ndiyo nchi yenye idadi kubwa zaidi ya simba kuliko nchi nyingine yoyote barani Afrika.
Inakadiriwa kuwa na simba 15,000 huku hifadhi ya Serengeti pekee ikiwa na takribani simba 3,000.
#KitengeUpdates

Nina uhakika wauza iPhone wengi watanichukia baada ya kutoboa siri hii,
Kama una mpango wa kununua iPhone Mwaka huu,
Hivi ndivyo utakavyo uziwa iPhone iliyotumika bila wewe kujua...
🧵👇🏾
Tuna washukuru sana wale wote ambao mme endelea kuchanga. Mnatoa matumaini makubwa katika wajibu wetu wa kupigania haki na demokrasia.Mungu awabariki sana.Tafadhali sambaza ujumbe huu kwa kila mtu.
DONATIONS TO SUPPORT MR. FREEMAN MBOWE LAWYERS https://t.co/xLFtW8dAHN
Darasa Huru,
Watoto wa Duma.
Maisha ya wanyama pori yanahitaji mbinu nyingi sana ili uweze kutoboa,mbinu hizi huanzia kwa watoto hadi kwa wakubwa.
Leo tujifunze kidogo kuhusu Duma,watoto wa duma ni katika moja ya watoto wa wawindaji wanaopitia wakat mgumu sana katika kipindi👇🏿👇🏿
Makofi na retweets nyingiii saba kwa Adv. Nashon Nkungu
•Advocate of the High Court & other subordinate courts.
•Postgraduate diploma in Legal Practice
•Bachelor of Laws (LLB - Hons) (University of Iringa – formerly Tumaini University, Iringa).
Mobile: +255 782 040 948
Binadamu tunapanga lakini Mungu anaamua juu ya mipango yetu. Hii mipango ilikuwa imejikita baada ya 2025. Leo ndani ya muda mfupi tu, mtoa hoja sio Mbunge, Mpokea hoja sio Spika na Mjengewa hoja hayupo duniani,
Stay humble and mind your tongue.
Job Ndugai was the most despicable Speaker in the 96 years of our Parliament. His forced resignation, though, confirms that Tanzania has only one omnipotent & untouchable arm of the State: the President. A new democratic Constitution is an urgent & imperative order of the day!
Elimu ya Msingi: MEMKWA
Elimu ya Sekondari: QT
Cheti cha Astashahada: VETA
Cheti cha Stashahada: KAM
COLLEGE
Shahada ya kwanza: OUT
Shahada ya pili: OUT
Pihechidii: YUDOMU
🤔🤔🤔🤔🤔