@SuluhuSamia Samahn Mh. kwa jina naitwa Joseph samweli, na Ishi morogoro, ni mjasiriamali naomba uniazime million mbili niongezee kwenye mtaji wangu. Biashara ikikua tuu nakurudishia hela yako. Kama huniamini nitafute mashahidi uzuri pia mimi ni mwaminifu sana siwezi kukimbia na hela yako