‼️ALERT ‼️
Leo Makamu Mhe. John Heche yupo Simuyu Wilaya ya Bariadi.
Hii Gari inamfuatilia Heche tangu asubuhi, tumeangalia kwenye usajili hii namba inaonekana ni Trailer la mizigo na sio ya Land Cruiser.
Hawa ndo watekaji wenyewe ndo maana wanatumia plate number feki ili kuficha utambulisho wao.
Agenda ya kufunika wizi mkubwa kwenye sketa ya mafuta.. Watanzania msikubali.
Tunataka kujua kwanini Vitol ametuuzia mafuta kwa usd 260 sawa sh 689,000.
Wakati huo huo anawauzia Uganda mafuta hayo hayo kwa USD 83 sawa na sh 212,000
Msumbiji usd 90 sawa na 238,500.
Hawa watu wanaoitwa NAMARO na TPDC wamehusikaje kwenye huu ufisadi wa kufilisi Nchi.
Huu ni uhujumu uchumi mkubwa kuwahi kutokea katika Nchi hii.
Kuna zaidi ya 1.2 trilioni imeibiwa katika mafuta.
Katibu mkuu wa Nishati bwana Mataragio alisema tuna mafuta ya kutumia miezi mitatu.
Watanzania tusikubali huu wizi.
Lissu inspires us always! Never back down! Samia Suluhu and her murderous cabal tried to break him - he has stood firm and refused to be a victim!
Mungu aendelee kumtia nguvu 🙏🏽
Tundu Lissu ni kiongozi wa kuigwa! 🔥
Walijaribu kumdhalilisha akagoma kuonewa LIVE! Ila uonevu unaofanywa dhidi yake imevuka viwango vyote
#FreeTunduLissu
‼️🚨ALERT: GRAPHIC IMAGES‼️
Following the documentation of #TanzaniaMassacre online despite internet blackout and repression, Samia Suluhu now wants the same police that committed these atrocities to prevent l these videos from being posted online!
Too late!
We have it all and it is now with all international bodies and states! What you did was CRIMES AGAINST HUMANITY and you will be held accountable!
Huyu kimama mbona amechelewa sana! Hivi ndo “viclip” ? Hizi video ni USHAHIDI na ajiandae! Si walisema ni AI? Sasa wataenda kujieleza @IntlCrimCourt ni AI gani! Wacha waendelee kufikiri tunatania! Si walitupuuza tulipowaambia tunafanyia kazi vikwazo?? Kiko wapi? Na ICC iko njiani na soon mtajua hamjuu!
Huwezi kututawala huku umemwaga damu ya maelfu!
Huijui Tanganyika na hutujui watanganyika!
#SamiaMustGo
Suala linalohusu na/au kuhatarisha maisha ya watu lazima tulipe umakini stahiki.
Propaganda ya waandamanaji kulipwa na Ford Foundation ni uongo wenye hatari.
Ulikuwa mkakati wa dola kujisafisha dhidi ya mauwaji.
Madenge, kwa kujua, alitumika kusambaza propaganda hiyo.
🧵🧵
Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa inafanya kazi ya kuchochea machafuko.
Sisty Nyahoza aliekwenda kwa marehemu mama Komu na kumshawishi kusaini karatasi ya kufungua kesi ambayo ilifungia chama chetu kufanya kazi siku 309..
Madhara mengine walitaka kukifuta chama kupitia kesi hiyo ya Said Issa.. kwa uwezo wa Mungu tumeshinda..
Sasa Sisty huyo huyo na ofisi hiyo hiyo ambayo inafanya kazi ya kuhujumu chadema usiku na mchana tena wazi kabisa. Inatuandikia barua kila baada ya mkutano na kila neno tunalosema… Maneno pekee tunayoweza kusema tusiandikiwe barua na Sisty ni kumsifia Samia na serikali yake dhalimu ambayo haikuchaguliwa.
Kwa kifupi ofisi ya msajili itaingiza Nchi hii kwenye machafuko ya kisiasa..
Chadema ni taasisi ya Watanzania na Watanzania watailinda dhidi ya hujuma zote.
Imebainika kuwa dogo aliyemudu kuvunja security breach ya rais William Ruto na kumkubatia rais huko kaunti ya Kilifi, alikuwa amebeba CV zake ndani ya biblia.
Nia ya dogo ilikuwa kupata attention ya rais ili amtoe kwenye msoto wa ukosefu wa ajira
Walinzi walimhoji dogo na kujua dhamira yake na pale pale rais Ruto alipojulishwa akaahindi kumsaidia
Leo hii dogo amefanikiwa kuajiriwa taasisi ya mamlaka ya bandari nchini Kenya
Siku mkiona YERICO NJEGERE kaacha kutweet kama miezi miwili, basi jua anataka na yeye kurudi CHADEMA na atapolekewa kwa mbwembwe kama MSIGWA.
Wakiwa wanasepa wanaitisha PRESS kibao wanakanyagaaaa, wakitaka kurudi wanatweet tuu na ishu inakuwa imeisha.
Siasa za ZAMANI ni UCHAFU.
Jaji Chande anasema kwamba waandamanaji wa maeneo ya Salasala Jijini Dar es salaam walikuwa na Mikuki na Sime na marungu.
Huyu mzee hii laana, itamtafuna yeye na kizazi chake mpaka siku wanaingia kaburini.
Kwa mujibu wa Jaji Kiande, Master Tindwa alipigwa risasi akauwawa akiwa nyumbani kwake sababu alilipwa na akapewa mafunzo ya kuandamana.
Keep resting in peace, Master!
What a sad day for us!!
Huyu aliyebeba bendera yetu ni Daniel aka Lissu wa Kitaa. Alipigwa risasi akauwawa akiwa anadai uadilifu wa bendera yetu. Mdogo wake pia aliuwawa.
Samia atalipia haya mauwaji ya halaiki. Sisi hatuko bound na blah blah za Chande aka Kiande.
RIP Daniel aka Lissu wa Kitaa!!
Hatuwezi kufunika UKATILI wa Viongozi waliopita kwa sababu hawa waliopo wanaendelea kufanya mambo mabaya zaidi. Tukifanya hivyo utakuwa ni udhaifu na dhambi kubwa sana. Hatuwezi kumkumbuka mtu kwa kujenga madaraja dhidi ya roho za watu zilizopotea kikatili wakati wa uhai wake bila majibu hadi leo. Hisia za msiba haziwezi kuwa na nguvu kuliko wema , haki , huruma na upendo. Tukipoteza kumbukumbu za ukatili wao tutakuwa tunaimarisha ukatili kwa kila
utawala na haswa vizizi vinavyokuja.
Mimi namkumbuka Magufuli katika sura hii ma sio hisia na kelele za ngojera.
HABARI MBAYA
Huyu kijana anayeonekana kwenye hii picha akiwa amewashika Polisi mabega akijaribu kujikongoja anaitwa Emmanuel Bernard Msele,
Mara ya mwisho alionekana katika video hii iliyopostiwa na BBC 29 October majira ya asubuhi maeneo ya ubungo Maji.
Huyu ni kati ya watu Waliokamatwa siku hiyo asubuhi kabisa wakati maandamano yanaanza na kupakiwa kwenye gari hilo la Polisi tangu siku hiyo hajaonekana tena.
November 6, 2025 Mwezi wa 11 familia yake ilipata taarifa kwamba ndugu yao yupo Hospital ya Mzena anatibiwa, walifika hapo na kuambiwa ni kweli alitibiwa hapo lakin baada ya kupata nafuu Polisi walimchukua na kuondoka nae.
Ndugu zake wametafuta vituo vyote vya Polisi bila mafanikio.
#FreeEmanuelMsele
“Yaani wewe wa kunifundisha mimi sheria”? TL
Hawa jamaa ndio maana kesi zinafunguliwa dhidi ya serikali kimataifa wanapigwa sana.
Ukipeleka janjajanja unafikiri kule kuna maelekezo kutoka juu….utapigwa ushangae
Mdogo wangu Joseph alipigwa Risasi ya kichwa Trh 29 October Mwaka jana akiwa anenda Dukani kununua maji akafariki alaafu kuna mtu anajiita mbunge yuko bungeni kupitia damu ya mdogo wangu Joseph hapana hapana hapana 😭😭😭😭.
Za ndani zinasema lengo lao ni kuiua CDM itoke kabisa kwenye medani za siasa!!
Na pengine watengeneze chama kingine kikuu cha upinzani!!
Wanaamini wataweza kwa sababu wanasema ilishawezekana kwa NCCR na hata baadae CUF!!
Binafsi naamini CDM itapitia
tu changamoto financially, kwa kukosa ruzuku na fedha za kuendesha chama!!
Lakini CDM kuondoka kwenye mioyo ya watu kabisa hili mpaka sasa ni BIG NO!!
Na hii ni kwasababu hajatokea mpinzani mwingine wa kweli anayeweza kuaminika na mamilioni ya watanzania!!
Yani ukiiua CDM hakuna alternative!!
So technically hesabu za watawala hapa zitafail tu na wakiua CDM ndio watazidisha chuki kwa wapiga kura!!