Hongereni sana TEC kwa kusimama kwa ujasiri, weledi na uaminifu uliotukuka kwenye nafasi yenu kwa jamii hasa katika kutetea haki za wananchi za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Hakika taasisi yenu imekuwa baraka kubwa kwa taifa letu. Mungu awabariki sana.
Geofrey Mwambe ni vetted officer. Amekua waziri, wakati Magufuli yeye na kina Kabudi waliongoza kile kilichoitwa timu ya majadiliano na mabeberu, huyu amekua Mkurugenzi wa Tic.
Kiongozi mkubwa wa serikali, leo anatekwa, anafichwa, anashikiliwa kinyume cha sheria.
Nani yuko salama?
Utawala uliofitinika, uliojaa damu, hakuna mwenye usalama.
Muachieni Mwambe.
"Kwa kuwa serikali haina uhalali wowote, Chadema inataka kuanzishwa kwa Serikali ya Mpito ambayo haitaongozwa na Samia Suluhu Hassan wala Serikali ya CCM, itakayoaminika na watanzania na Jumuiya ya kimataifa." Mhe. @HecheJohn
"Pamoja na hayo ripoti za AUEOM, SADC EOM na EAC-EOM zilionesha wazi ukosefu wa uwanja sawia na uhalali wa uchaguzi. Mambo yote hayo yaliyoainishwa hapo juu yanaimarisha msimamo wa Chama kuendelea kudai mababadiliko makubwa ya Kikatiba, Kisheria na kitaasisi." Mhe. @HecheJohn
Watanzania achaneni na Majizzo na wapuuzi wengine. Kwa hali ya sasa sio Majizzo tu hata Kusaga wiki ijayo atawaombea msamaha wasanii. Kwa sababu hizi
1. Radio & Tv zinakufa pia sio wasanii pekee
2. Serikali batili inahitaji Watanzania mrudi kuwa busy na wasanii ili wao waendelee na unyonyaji na uuaji.
3. Wasanii ndio tegemezi la CCM katika kuhamasisha Jamii, so wananchi mkiwapuuzia na kuwapotezea wasanii na serikali batili imepoteza nguvu juu ya wananchi.
4. Wanataka nchi irudi kwenye hali ya zamani, yani wananchi mko busy na wasanii na sio seriajli.
Ushindi
Day 1 ๐ฅ na siku haijaisha ๐
Sasa mtandao hawajazima ila umekuwa mzito watu wasiweze kutuma picha na video ๐
Shida mnafanya mashindano na wananchi mamilioni na msichojua - hatuna deadline
#D9TanganyikaDay#D9Tunatoka
Mwambieni Idd Amin Mama na vibaraka wake, Haya ni Maandamano ambayo hayatakuwa na kikomo, tutakuwa road mpaka siku akituachia nchi yetu maana hatuwezi kuongozwa na Muuaji, kwanza hatujampigia kura kajiweka tu madarakani.
#SamiaMustGo#D9
๐Mwanza
#D9 Hatumtaki Samia โ๐ฝ๐น๐ฟ
Jamani wanajeshi hawana ishu wao wapo tu wapiteni nendeni zenu ๐ช๐ฝ
Kama anakuzuia askari piga picha nitumie tunaandaa ripoti
Freedom of movement is key! There is no curfew just ILLEGAL LOCKDOWN that is not justified
#D9Tunatoka