Msodoki ni moja kati ya Artist mwenye uwezo mkubwa sana hilo lipo wazi kabisa,ila kwa kipindi hiki Lunya anafanya vizuri sana kuliko Msodoki...
Na katika hii Battle naimani itamnufaisha zaidi Msodoki, kwa pale mjini Youtube Video ya "Go ahead" iliwekwa 29 June mwaka huu ipo na Views 132K
Huku "Freestyle session5 ya lunya" iliwekwa july 7 mwaka huu ipo na views 239K...
Basi tuachane na hizo tuongelee za mwaka jana "Msodoki~Ngosha" iliwekwa youtube 10April mwaka jana views 476K...
Huku "Vitu vingi ya Lunya" iliwekwa june10 mwaka jana ipo na views 991K...
Tukubali tuu katika wakati,Msodoki anaweza kumchakaza Lunya kirahisi mnoo maana ni mkali wa kucheza na maneno....ila Lunya anaelewa kucheza na Soko vizuri...
Na hata ukisikiliza hii ngoma ya Msodoki unasikia kaongelea sana wakati uliopita....halafu ukisikiliza ya Lunya utasikia anaongelea wakati uliopo
NB:Nimeongelea Youtube kwasababu kibongo bongo bado tupo huko na Boomplay....muda sio mrefu naleta namba za Boomplay...
Mniuwee tuu ila nishasema na sifuti😁🙌🏽
#ParachichiFM
Kumekucha nikatafute shilling mbili tatu… a quick reminder: Stop hating, Cursing other people and start blessing them, God will bless you too… Life is hard out here, tuna familia zinatutegemea. Have a blessed morning 🙏🏾🙏🏾