Wakati Wananchi wanasema tutaandamana Oktoba 29 Dalali wa Siasa alikuja na hizi kejeli,
Dalali alikuwa na guts za kukejeli Maandamano ya Wananchi wa Tanganyika Oktoba 29 kwasababu Idd Amin Mama aliahidi kuwa atampa majimbo 20 na viti Maalum 25 so alijua anaenda kuwa Kiongozi wa Kambi rasmi ya upinzani Bungeni.
Sasa Idd Amin Mama kamtumia kutakatisha uchafuzi halafu mwisho wa siku akamtosa kwenye Ubunge so maumivu ya kutoswa ndo anakuja humu sasa na kujifanya yupo upande wa Wananchi huyu ni mnafki wa kuogopwa anapiga kelele ili wamuite wampe pesa kama kawaida yake na wakishampa tu mtaona atapiga kimya hatofungua mdomo wake katu.
Watanganyika wenzangu kuweni makini sana na huyu mtu maana kwasasa anachokifanya ni kupandisha Dau Ila Idd Amin Mama amuite mezani so msije mkaingia mkenge.
Mnamo Mei 10, 2023, historia iliandikwa Tanzania: Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) ilizindua huduma ya kwanza ya upandikizaji uloto kwa wagonjwa wa #Selimundu (sickle cell).
Tiba hii haikuwahi kufanyika EAC kabla. ๐๐ผ
#RaiaMakini@policy_F@InstituteWajibu
@NjiwaFLow Nikiambiwa nimchague msanii mmoja wa kumsikiliza nyimbo zake mwaka mzima kila nikitaka kusikiliza wimbo basi uwe ni wimbo wake tu, namchagua Konde Boy everyday all day.
1. Zaburi 30:5 (Psalms 30:5)
โMajilio ya hasira yake ni ya kitambo kidogo tu, lakini fadhili zake ni za maisha yote. Kilio chaweza kukaa usiku kucha, lakini furaha huja asubuhi.โ