On infiltration instead of invasion, on subversion instead of elections, on intimidation instead of free choice, on guerrillas by night instead of armies by day
1. Popular forces can win a war against the army.
2. It is not necessary to wait until all conditions for making revolution exist; the insurrection can create them.
3. In underdeveloped Africa the countryside is the basic area for armed fighting.
Jana, Jumatatu, 15 June 2026 tukiwa njiani kuelekea mkoa wa Morogoro katika mwendelezo wa mikutano ya hadhara, Mwenyekiti wa CHADEMA – Kanda ya Pwani, Boniface Jacob alipokea wito na kutakiwa kufika Kituo cha Polisi – Oysterbay katika ofisi za Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Mkoa (RCO)– Kinondoni. Leo, tumefika kumsindikiza na amefunguliwa jalada la uchunguzi na amehojiwa kwa tuhuma za kuhusika kufadhili maandamano ya Julai 07, 2026. Amekana tuhuma hizo alizopewa. Ameachiwa huru.
Thabo Mbeki awakumbusha wa Afrika Kusini kifo cha Sokoine kilichosababishwa na kada wao wa ANC mwaka 1984.
Anasema walidhani Watanzania wangewashambulia ANC, lakini hawakufanya hivyo.
Here are some of degrees they added, according to China’s Ministry of Education;
Area and Country Studies
Carbon Neutrality Science and Engineering
Marine Science and Technology
Health and Healthcare Security
Intelligent Molecular Engineering
Medical Device Engineering
Medical Devices and Equipment Engineering
Spatiotemporal Information Engineering
AI Education
Intelligent Audio-Visual Engineering
Digital Drama
Low-Altitude Technology and Engineering
Embodied Intelligence (at multiple universities)
Intelligent Visual Engineering
Intelligent Marine Equipment
Biological Breeding Technology
High-Power Semiconductor Science and Engineering
Electronic Information Materials
Football
Sports and Health Preservation
International Cruise Management
Air Sports / Aviation Sports
Etc.
Twenty-five years ago, the Massachusetts Institute of Technology made a bold move that most universities would never dare.
Instead of locking its world-class course materials behind campus walls, MIT decided to put nearly its entire curriculum online, completely free for anyone with an internet connection.
That decision gave birth to MIT OpenCourseWare (OCW).
What began as a bold experiment in 2001 has become one of the most significant educational initiatives in history.
Today, OCW provides materials from more than 2,500 undergraduate and graduate courses across virtually every discipline: physics, engineering, artificial intelligence, economics, biology, mathematics, computer science, and many more.
Anyone can access lecture notes, problem sets, exams, syllabi, and a growing library of video lectures, with no tuition, no application, and no account required.
According to MIT, more than 500 million people worldwide have used these resources over the past 25 years.
The impact has been profound. Students use it to ace exams, explore new fields, and launch careers. Educators around the globe integrate the materials into their own teaching. Many learners credit OCW with helping them pass professional certifications and unlock new opportunities.
Beyond its direct benefits, OpenCourseWare helped spark the global open education movement, inspiring dozens of other universities to share their knowledge freely online.
Even more impressive: the project was originally planned as a 10-year initiative. A quarter-century later, it's still expanding.
MIT now aims to reach 1 billion learners in the coming decade, while enhancing the experience with powerful new AI-powered learning tools.
Wananchi wanaendelea kudai haki kupitia chama kikuu cha siasa Tanzania.
Seriously, CCM kupata crowd kama hii ni lazma mabasi yawe prmbeni hapo na pesa za ziwepo za kulipa watu waende ila Chadema, wananchi wanaenda kwa nguvu zao wenyewe na pesa wanatoa…
CCM sio chama kikuu tena Tanzania, ukifanyika uchaguzi leo hii CCM ikipata wabunge 10 kwenye majimbo itakuwa maajabu, kwenye urais ndio kabisa. CCM inawekwa madarakani na vyombo vya usalama na mahakama. CCM wao kama wao hawana nguvu ya umma anymore, walichonacho CCM kwa sasa ni SILAHA za kuwasaidia kushikili nchi kinguvu. Na historia ya dunia inatuonyesha kuwa utawala wa hivi huwa una mwisho mbaya na wananchi huwa wanashinda mwisho wa siku.
MBOGAMBOGA, mmechanganyikiwa!
Tumeona propaganda zinazoenezwa na mwenezi wenu zikituhumu CHADEMA kupanga maandamano na vurugu. Huu ni uongo mtupu. Hakuna kikao chochote kilichofanyika kupanga jambo hilo. siku tukiamua kufanya hivyo, tutaweka wazi kwa umma bila kificho kwa sababu maandamano si jinai. Tunaelewa, huu ni mkakati wa kutengeneza visingizio ili kukamata, kuteka, na kupoteza vijana wetu kutokana na hofu mliyonayo baada ya kuona nguvu ya CHADEMA mtaani. Mnaogopa maandamano? Tangu lini ni haramu? Badala ya kuzuia haki za kiraia kwa nguvu, shughulikieni changamoto zinazowakabili wananchi. Sikiliza; you can’t heal diarrhea by stitching the anus. #freetundulissu #tundulissusiomhaini
Katika mabadiliko yanayotarajiwa ndani ya CCM, nina taarifa kwamba nafasi ya huyu bwana si salama. Ndiyo maana siku hizi amegeuza CHADEMA kuwa ajenda yake ya kila siku. Anatafuta relevance kwa kuwataja viongozi wa upinzani na CHADEMA akiamini kelele zinaweza kuziba upungufu wa upumbavu alionao. Yuko kwenye kampeni ya kupigania nafasi yake.
Hakuna miaka mingi mbele kutoka leo. Pombe inatengeneza janga ambalo wengi hawalioni. Ikiwa mwenendo wa sasa utaendelea, itaua watu wengi zaidi, kuvunja familia nyingi zaidi, na kuchochea kuporomoka kwa maadili ya jamii kwa kiwango ambacho kitakuwa tishio kubwa kwa mustakabali wa taifa letu. Inatisha sana.
"Nimemsikia mtoto mmoja wa shule hapo hajui hata wajibu wa Mbunge, anasema John Heche amesoma shule ya Umoja wa Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi Bulima, ni kweli nimesoma shule ya Bulima lakini kipindi hicho Bulima haikuwa shule ya Wazazi, ilikuwa shule ya bodi ya Pamba, CCM ndio wameipora sasa hivi na kuwa ya wazazi. Tukishinda nchi hii vitu hivi vyote tutavirudisha serikalini siku hiyo hiyo ikiwemo Ofisi wanazozikalia. Wataenda kupanga mtaani huko.
"Mimi sijasoma shule ya CCM mimi, ningeacha shule haki ya Mungu. Hii akili yangu mnavyosikia ningeweza kusoma shule ya CCM?."- Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA akizungumza na wanafunzi wa Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa leo Juni 13, 2026.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Bw. John Heche amesema ufisadi namba Moja Nchini Tanzania ni pale Sekta binafsi zilizowekeza kwenye huduma muhimu za Kijamii zinapofanya na kutoa huduma nzuri kuliko zile za serikali.
"Ebu fikiria, inawezekanaje, Kitu cha Private kinakuwa bora kuliko cha serikali? Ufisadi namba moja kwenye Nchi hii ni pale unapokutana Hospitali ya Umma eti inazidiwa na Hospitali ya John Heche wakati mtu huyo anailipa serikali kodi, serikali hailipi kodi, wakati lazima mtu binafsi awe na kibali ilihali serikali haiitaji kibali, inakuwaje kitu cha Private kizidi ubora wa serikali? Amehoji.
Heche ameyasema hayo katika hotuba yake kwenye Mahafali ya wanafunzi wa Vyuo Vikuu walio wanachama wa Chadema Mkoa wa Iringa leo Juni 13, 2026, akisisitiza kuwa ikiwa watapewa ridhaa ya kuunda serikali, Chadema itaweka mazingira mazuri kwenye Shule na Hospitali za Serikali, kiasi kwamba mwananchi mwenyewe akimbilie kwenye huduma za serikali kutokana na ubora utakaokuwepo.
"Sisi tuma rasilimali zote, tunaweza kuzalisha kuliko mtu binafsi. Tunataka Hospitali za serikali ndio ziwe bora na ni kwamba hatutafunga Hospitali za binafsi lakini tutawekeza kwenye Vifaa bora kiasi kwamba zile za Private zitashindwa hata kushindana na serikali kwenye zils sekta tutakazokuwa tunazifanyia kazi." Ameongeza kusema Heche.
Heche pia amebainisha kuwahitaji vijana wa Vyuo Vikuu katika kuijenga Chadema kwenye Vyuo Vikuu, akibainisha kuwa hata ukimchukua malaika hii leo na kumshusha Chadema hawezi kubadilisha jambo lolote.
"Kwa ukweli wa Mungu kabisa, hata ukichukua malaika ukamuweka ndani ya CCM kesho atakuwa jambazi, chukua malaika yeyote mbinguni muweke CCM kule hawezi kubadilisha lolote kwenye Nchi hii. Mfumo umeoza ndani ya CCM." Ameongeza kusema Heche akisisitiza kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa yupo gerezani si kwasababu amekosea bali ni kwasababu ya kuwapambania watanzania.
Wiki iliyopita nili-post juu ya kesi hii ambayo Serikali iliwashtaki watu hawa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma kwa madai kuwa waliandika katika akakunti ya Instagram kuwa " mauaji ya 29 Oktoba 2025 hayawezi kufichwa na tume ya Uchunguzi". Nikahoji kosa lao hapo ni nini kusema tume haiwezi kuficha mauaji hayo? Nikahoji kwani tume iliposema wameuliwa watu 518 ilikuwa inamaanisha nini?
Pamoja na mambo mengine niliahidi kuwatetea mahakamani watuhumiwa hawa ambao ni mme na mke mwenye mtoto mchanga. Leo tarehe 12/6/2026 ilikuwa siku ya kesi yao. Nafurahi kuwajulisha kuwa kesi hiyo imefutwa na watuhumiwa wako huru kuanzia leo.
🚨‼️HUYU NDO MKE WA AWADHI JUMA HAJI, ALIYETOA ORDER YA ‘SHOOT TO KILL’ OCTOBER 29‼️
Jina lake anaitwa Eliza Joseph, huko mitaa ya Facebook anajiita Ellyzer Joseph
Eliza amesoma shule ya Tarakea High School.
Hapo awali Eliza alikuwa Askari wa usalama barabarani ila baada ya kuolewa na Awadhi alimuhamisha huko kwenye uTraffic na kumfanya kuwa Polisi wa kawaida ambapo kituo chake cha kazi ni Oysterbay Polisi.
Eliza na Awadhi wanamtoto wa kike anaitwa Tiffa, wanaishi maeneo ya UNUNIO, Jiji Dar es Salam
Namba yake ya simu ya Eliza ni +25565230655x
Mkimuona huko njiani basi mjue ni mme wake ndo alitumika kutoa order ya kuuwa Watanganyika wenzetu Oktoba 29.
"Tulipoingia Bungeni mwaka 2015, hii barabara ya Old Bagamoyo ilikuwa inajengwa miaka sita baadae wanaibomoa wanaweka mwendokasi. Yaani hawakuwa na mawazo tu kwamba hapa tutakuja kuweka mwendokasi, waweke kipindi hicho, mabilioni ya fedha yamewekwa hapa na leo wanayateketeza."
.... Cha kwanza kinachoanza ni plan (mpango), hawa watu hawana mipango, hawana maono, hawana uelewa- kwahiyo kila kitu wanachokifanya ni zimamoto na ndio maana barabara inajengwa leo kesho ina matundu. Mimi nimeenda Ujerumani nakuta barabara ya mwaka 1890 haijawaji kubomoka ila hapa kwetu tuna matatizo lukuki, hata nikikuuliza wewe ni kipi CCM wameweza, utaniambia nini kimoja.?"
"CCM na mfumo wake ni total failure, ni disaster kwa nchi hii na kuwaacha kuendelea kuongoza hata kwa nusu saa ijayo ni kuendelea kuumiza Nchi hii. Hakuna ambacho wamefaulu, si maji, si umeme, si barabara, basi walau wangekuwa na kimoja walichofanikiwa lakini hata amani mnayosema kwamba wamefanikiwa kuilinda mimi niwaambie kuwa Nchi hii haina amani, amani hailindwi na mtutu wa bunduki, amani inajilinda yenyewe." - John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema (bara) akihojiwa na redio BongoFm.
Watu woote tunaompenda LISSU. Please, TUMUOMBEE, TUPIGE KELELE. @ChademaTZ2@HecheJohn@godbless_lema@jjmnyika sijui mpambaneje, hawa WAPUMBAVU wako very serious LISSU afe. Hii ni mission yao kubwa kwa sasa.
Elon Musk did not become a different person when he landed in America.
In South Africa, he may still have been brilliant, restless, and ambitious, but the environment would not have given him the same room to build SpaceX, Tesla, Neuralink, and everything else.
Talent matters. The country you build in decides how much of that talent can become real.