Mtaka ni mbegu nzuri iliyoanguka kwenye udongo mbaya. Kuna mambo hauwezi kufake, ni ama unayo au hauna.
Ameuliza swali muhimu sana ambalo Mwal. @MabalaMakengeza amekuwa akisisitiza kila mara anaposema โMungu pekee ndio mwenye uwezo wa kusema iwe ikawa.โ
Huu โuchumi wa dola trillion mojaโ by 2050 unatengenezwa na human resource ipi?
Mtoto anayezaliwa leo hii ana mazingira yoyote ya kumwandaa kushiriki kikamilifu kwenye uchumi, tofauti na mama yake aliyezaliwa miaka 15 - 20 iliyopita?
Ni kipi haswa kilichobadilika kwenye elimu ya Tanzania ambacho unaweza kusema โhawa wa jana hakika hawakuandaliwa lakini hawa wa leo wana uhakika wa kuwa rasilimali watu?โ
JIBU LA MSINGI NI HAKUNA. Mazingira ni yale yale, miundombinu duni ni ile ile, tatizo la walimu ni lile lile, vifaa vya TEHAMA ni changamoto vile vile, na bajeti ni kiduchu vile vile. Tena kama haitoshi ndio kwanza tumeongeza idadi ya wanafunzi mara dufu halafu juu yake tukakopi sehemu ya sera ya elimu ya Finland na kuitumbukiza Tanzania.
Mwanafunzi mzuri wa policy borrowing anaweza kutabiri with certainty kuwa tulichofanya ni mbili jumlisha mbili toa nne, haswa kwa kuzingatia uhalisia wetu wa kimiundombinu.
Hoja nyingine nyeti ni hii ya KUSUBIRI KUSAIDIWA KILA KITU. Yani hata kutumia wataalam wetu kama wakina Kipanya na Mabala kututengenezea makala za kufundishia imekuwa changamoto, mpaka tusubiri โWAHISANI.โ
Pata picha hadithi za ucheshi wa kufundishia za Mabala, ambaye ni mtaalam wa literacy, zimekutana na katuni za Kipanya, vyote kwenye program moja. Ameuliza Mtaka, ni kipi haswa kwenye katuni ya Akili and Me kinachohitaji mtu kutoka nje??
Mwisho Mtaka akagusa panapouma. Katuni za @HakiElimu kuhusu uhalisia wa mazingira ya kufundishia zilikuwa na shida gani??
Hatutaki kuambiwa ukweli kuhusu hali ya madawati mashuleni, vyoo, changamoto kubwa ya walimu na uwezo wao, pepo la lugha ya kufundishia n.k.
Kila mara jamaa wakidepict uhalisia, mnasema โoohhhh wanashusha moral ya walimu; ooohhh wanamdharaulisha mwalimu; ooohhh wanaondoa utu wa wanafunzi; ooohhhh blah blah blah.โ
Tunapenda political correctness kiasi kwamba tupo tayari kuficha ukweli na kuacha watoto waendelee kusomea kwenye mazingira ya tabu na mateso kuliko kukabiliana na ukweli.
TOYOTA IST COMPACT SUV ๐ฅ
Year 2004
Engine type 1NZ-FE
Engine Capacity 1290cc
Fuel โฝ๏ธ Petrol
Automatic Transmission
Low Mileage
Full Ac
Full Documents
Clean Condition Interior and Exterior ๐๐ป
PRICE 13M
GARI KALI SANA, MALI IMENYOOKA ๐๐ป
โ๏ธ0786 518866
KINDLY REPOST ๐
2027 imebaki miezi 6 tu.
2016 ilikuwa miaka 10 iliyopita.
COVID ilianza zaidi ya miaka 6 iliyopita.
Waliozaliwa 1990 wamebakiza miaka 14 tu kutimiza miaka 50.
Na leo, 2007 iko mbali zaidi kuliko 2040.
Muda unakimbia.
Acha kusubiri. Anza sasa.