@MariaSTsehai@ccm_tanzania@nchimbie Njooo tanzania tuone unafanya harakati Kwann uwe nchi jirani? Mnawadanganya vijana wadogo wasio na kazi … mnawafanya chambo njoo ww ufanye
@fatma_karume Alichokifanya niffer sio kitu kibaya kwenye mazingira ya ubinadam lakin sio vizur kwenye mfumo wa kiserikali… je ungekuwa ww atokee mtu awasilishe shida zenu kwa watu mfano atangaze kifo kabla nyie wanafamilia kutangaza?? Ndivyo alichokifanya uyo binti taasisi husika ipo
@ExMayorUbungo Mbna ela za join the chain makusanyo hamjaambiwa na wala hampigi kelele … ndugu zetu wa chadema mnajiendesha sana….. mambo yenu mkipigwa aaaah wala hamsemi lolote wala kuandamana
@KatibaMpyaTz_ Kwamba ndugu ww ungekuwa kwemye position io usingefanya hii..? Africa watu wote wana ndoto ya kuwa viongozi ili nao walimbikize mali kwaio tungeacha tu