@JabirSaleh Ukweli ni kwamba wanachelewesha mahakama tu lakini hii series iliisha tangu game 2 (kwangu Mimi). Lakini ngoja tuone . Wonders always happens
@ComradeKawaida Sasa huyu anafanya Nini humu. Nondo amekuprove wewe ni kilaza Jana kwenye interview Bado unapiga bla bla hapa. Haya fungueni basi mnasubiri nini