takes time to get really version of you. needs efforts, sacrifice, pray as well blessing. and be really to your self because now the world need original version and not copies.
on way starting E LEGACY were will tend to inspire among youth. Understand the importance of being important into some one's life. Even if we're still younger we have that opportunity to make sure we put legacy. So, E LEGACY will inspire and make sure in't countinue
kuwa mwema mwenye upendo samehe, wapokee wote kwa usawa, usiwe wa kujikweza, coz wanaotusaidia ni wale tusiodhani kabisa na mungu ndio huwatumia kutuvusha. hii ni aswa kwetu vijana wadogo tunaokimbilia ndoto zetu.
Kosa kulirudia zaidi ya mara moja sio shida jus tu kuna mengi ya kujifunza kupitia kosa hilo. Unavyorudia kosa hilo pasina kukusudia ndipo unajifunza jipya tofauti na kile ulichojifunza kwenye hilo kosa jana. Na hicho ndicho kilichobebwa kwenye neno EXPERIENCE π #ukisoseajifunze
Mimi siamini kama una kitu (kipaji) yaani sikukubali, lakini Mimi sio mungu. Fanya zaidi, amini katika wewe nidhihilishie kuwa sikua sahihi na yote juu yako yanaamuliwa na wewe na sio mwingine