Usikubali kuambiwa eti kazi yako ni WITO...it's a trap wakunyonye maana wao wanachagua zisizo za wito ili WALIPWE KILA SEKUNDE YA MUDA....#UtakufaMaskini
Binafsi sijawahi kusikia Bimkubwa wangu ana rafiki wa kiume
Ndio maana nilimuomba Mungu aniepushe na wadada wenye marafiki kibao wakiume
Na mimi siwezi kuwa na urafiki na mwanamke, na kama yupo mdada anaehisi mimi mwanae ajue naandaa mazingira ya kumtongoza 🚶🏾♂️
If you fight with her,
You will lose.
If you try to explain yourself,
You will lose.
If you apologize,
You will lose.
But if you ignore her,
You will win.
And then she’ll beg you to take her back.
Take whatever you can from this world while you still can because when it starts taking from you, it takes everything even your life!
#TuesdayBlessings
Biashara ‘x’ haitokufanya utajirike, unachokijua kuhusu iyo biashara ‘x’ ndo kitakutajirisha..
Ukiambiwa tafuta maarifa kwa gharama yoyote, soma vitabu, lipia courses etc..usione watu wanapiga kelele..
Options hapa ni mbili tu, ni aidha..
1. Ujifunze au
2. Uangamie
WATU WA BLOOD GROUP O WALIO WENGI
Hawa ni watu wenye HASIRA na UBABE sana kwenye maisha yao hawa wwtu WATU WA O
Hawa watu nawaita watu hekaheka (masafa) ukikuta O mchovu basi anatakuwa na changamoto za kiafya au KIMAUMBILE. O wengi wana pumzi za PUMA na wana nguvu za Simba
👇