Hii ni siri yenye laana kama tupu ya mzazi,kwa roho mkunjufu sitoruhusu utundu wazi,sizungumzi na mwana nazungumza na mzazi,huu uzungu wa kuzaana kama ruzuku ya jambazi,kumbuka wema watoto wakwepe mkosi,baba ana nyumba ndogo kigezo kubwa haitoshi....
@Therealngassa@kilepi_tweve Me cjawahi Ila kuna mjomba angu yupo Ihumwa Dodoma ilikuwa humwambii kitu kwa ile nyama Kila Siku anachoma zaidi ya kilo tano
@Calvertson1@JohnieZeBest Sio lazima ulipoandikishia wewe utawaambia nahitaji nipokee id yangu Mkoa niliopo sasa Basi wanarekebisha sehemu ya kupokekea kitambulisho