BREAKING NEWS: Mahakama ya kimataifa ya ICC, imekaa leo kujadili matukio ya mauaji yaliyofanyika Tanzania. Samia, Abdul na Genge lenu kaeni mkao wa kula.
Tuendelee kujaza FOMU hiyo ICC nimeweka link: https://t.co/H1PvBEYUt3 . tujaze kwa wingi na tuambatanishe USHAHIDI wa video na picha za mauaji aliyofanya DIKTETA JIKE.
Tufanye kwa wingi sana, hii ndio mahakama pekee inayoweza KUMFUNGA SAMIA duniani. Tusikubali damu za ndugu zetu kwenda bure, tuendelee kujaza FOMU naomba naomba JAZA FOMU YA ICC.
USILALE KAMA HUJASUBMIT FOMU YA ICC, KINYUME NA HAPO WEWE NI MSALITI. USHAHIDI TUSHAPOST MWINGI SANA, DOWNLOAD KISHA SUBMIT.
REPOAT 200.
#TUTAKUWEPO🫵😎
“Nchi yetu ni masikini sana, watu wetu wengi bado ni masikini sana, Hatutegemei kuona kiongozi anakuwa TAJIRI” -JULIUS KAMBARAGE NYERERE
Nyerere aliendesha nchi kwa miaka 25, Asset pekee ya maana ni nyumba ya MSASANI.
Huyu mama miaka minne tu, Mtoto wake anaendesha gari za mabilioni, wanamajumba kila mahala, Wanamajumba dubai.
Mshahara wa raisi haufiki milioni 50 kwa mwezi, Miaka minne ni chini ya bilioni 3, MALI ZOTE WAMEZITOA WAPI?
JPM alimnunulia binti yake IST kwa kutambua kwamba nchi ni ya watu masikini hii, Mtoto wa SAMIA ana-yard ya magari ya mabilioni.
Bora mtunyonge lakini huyu mama sio.
HATUMTAKI, HATUMTAKI, HATUMTAKI.
Sambaza huu ujumbe uwafikie Watanzania wote.
#Mavazi_rasmi_ya_october_29_2025.
👉Nguo zisizobana sana kwenye mwili.
👉 Wanawake kwa wanaume suruali isiyobana viungo,na isiwe kubwa kupitiliza.
👉Raba yenye kamba fupi,funga vizuri raba yako.
👉Beba mzura unafunika uso kisirisiri
Wadau ukiiona hii post fanya kuwatag hawa
🚨 Please help!
Tag @elonmusk@Support to reinstate @sativa255 (143K followers). He is a human rights defender & victim of political persecution. Silencing him = silencing truth.
#UnsuspendSativa255#FreedomOfSpeech