Mpe heshima nyingi sana Mama yako Mzazi(Kama yupo hai), Kama ametangulia mbele za haki (Endelea kumuombea Sana). Amehangaika vya kutosha na wewe hadi leo hii upo hapo ulipo. ๐๐
๐ซต๐ฟ๐ KESHO MASKIO YETU YATAKUA BAGAMOYO.
KESHO Kanisa Katoliki Nchini Tanzania litafanya uzinduzi wa Jimbo Katoliki Bagamoyo, katika Parokia ya Moyo Safi wa Bikira Maria Kanisa Kuu Jimboni humo.
Katika uzinduzi huo Maaskofu Wakuu, Maaskofu, Mapadre, Watawa, waamini walei walihudhuria.
Misa Takatifu ya kusimikwa kwa Askofu wa Kwanza wa Jimbo hilo, Mhashamu Stephano Lameck Musomba OSA, itaadhimishwa kesho Mei 4, 2025 katika Viwanja vya Shule ya Marian Jimboni humo.
@Psiteshio1@prossoff My second phone is Redmi Note 14, ni chinese version sio for Africa ila ji tamu sana, Kunazia kioo hadi software yao, ina vingi sana
@shaffihdauda1 Kaka huyu kocha hana upeo wa kikocha. Binafsi ninavyomuona. Ameshindwa kujifunza hata kupitia mechi ambazo yanga alichezq vizuri na akaangalia nafasi za wachezaji. HAMNA KOCHA HAPO, Viongozi nao wanaleta masihala kwenye viti vyao. Unamleta locha asiye na uzoefu kimataifa kweli ?
@1960Remija Nadhani viongozi wa @YoungAfricansSC walipata kiburi cha mafanikio na wakadhani lolote watakalofanya ni sawa! Back to square one, mauzo ya jezi yanashuka, less engagement kwenye social media na idadi ya watu wanaoenda viwanjani inapungua! Gamondi alikua bado ni mali sana!
Yanga kuvuka makundi ya CAFCL utakuwa ni muujiza kwa aina ya kundi tulilonalo. Ila nina uhakika wa 101% Gamondi asingefungwa mechi 2 mfululizo. Nitaendelea kuipigania Yanga haijalishi tunapitia njia ngumu kiasi gani.
Mlango ni mdogo sana ukilinganisha na Nyumba, Kufuli ni dogo ukilinganisha na Mlango. Ufunguo ni mdogo kuliko vyote, lakini ufunguo unaweza kufungua Nyumba nzima. Hivyo basi, suluhisho dogo lenye kufikiria linaweza kutatua matatizo makubwa.
Speaking HONEST
Hakuna kitu uongozi wa YANGA wamekurupuka kama Kumfukuza GAMONDI, YALIKUWA ni maamuzi YA Hovyo walifanya hivyo kwa KIBRI wakijua team ni bora bila Kocha.
Hii ndio GHARAMA YA MAUMIVU mnayolipa kwa mashabiki zenu Baada ya Maamuzi ya Hovyo.
Moja kati ya Maamuzi mabovu kufabywa ni kumtoa Gamondi na Kumleta huyu jamaa.
Kweli kocha aliyeshindwa Galaxy aje kuang'aa Yanga ?. Maisha sio mepesi hivyo.
Namna Tu Anapanga Kikosi Chake Anaonyesha Kabisa Uwezo Wake Ni Mdogo. Basi Kama Mlikuwa Na Uwezo Wa Kumtoa Gamondi Kwa Kupoteza Game Mbili Huyu Nae Mtoeni Mapema Dalili Zote Zinaonyesha Kwamba Hapa Tumeingia Cha Kike
Ni Bora Timu Angepewa Hata Mzawa Katika Hiki Kipindi Cha Mpito Kuliko Kufanya Maamuzi Ya Kukurupuka Kuleta Kocha Kwa Mizuka Tu. Timu Imepoteza Hali Kabisa. Haya Maamuzi Yalikuwa Ya Watu Wachache Wenye Nguvu. Saizi Malengo Yatahamia Kwenye Kumaliza Hata Na Point Sio Fainali Tena