@IAmHaule Kuna dgo alienda lindi shule kapangiwa akawa anaongea nawezake kijijini hapana hata saloon ๐ bas ban wakamwambia hapa kuna mwalimu mwezetu anaugua mwaka wa pili sasa alifungua kiji saloon palee ndani ya mwezi mmoja tu yakamkuta kwahyo wewe huku fanya kazi usijishughulishe utajut
After winning the Tanzania ๐น๐ฟ NBC Premier League 2023/2024, the Young Africans SC (Yanga) Football Club took their trophy to the snowy peak of Mount Kilimanjaro, the highest mountain in Africa.
Haya ni maajabu.Yaani hii ndiyo tofauti kati ya viongozi waliochaguliwa na wananchi, wanaotumia nafasi zao na kuitangaza nchi yao, na wale wanaotumia madaraka kumtangaza ndugu Samia. Wakati wengine wanaitangaza nchi yao kwenye majukwaa ya kimataifa, wengine wanahakikisha kila jambo linazungukia jina la mtu aliyejipachika madarakani.
Tanzania inastahili uongozi unaoweka mbele maslahi ya taifa, si utukufu wa mdhalimu wa Kizimkazi. Ni jukumu letu kuendelea kupaza sauti mpaka tukomeshe haya mambo.
Tuendelee kuchangia ToneTone ili kufanikisha Baraza Kuu la Umma. Lengo letu ni kukusanya TSh milioni 334, na kila Tone, kubwa au dogo,linaleta utofauti.
TUENDELEE KUCHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
ToneTone, hatua kwa hatua, tutafikia lengo.
@fintanjr_ Maisha haya.. kuna video ya world cup wezie wanashangilia yeye kajitenga.. na mchezaji mwezie alivamiwa akachomwa visu akafa 2023 na jamaa walikuwa wote juzi juzi bibi ake
Guys ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ He followed his bestfriend ๐๏ธ๐๏ธ๐๏ธ๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบ