@FamWorld2025 MWANAMKE ANAYEJITAMBUA SIO MBINAFSI..
Hongera kwa kusema hili jambo, hakika wewe ni mwanamke ambae uendeshwi na mihemko ya wengi hasa hili eneo la roho za kibinafsi. Wanaoendekeza hivi Vikao wanaishi kuharibu Familia kwa kuwa waroho.
Wewe unafaa kuachiwa hata miradi ya Familia.
@millardayo Unajenga Taifa gani kama umepoteza Wazalendo wengi October na bado wengine hawajulikani wako wapi?
Matendo yenu na kauli zenu haviendani, huwezi kuwa na Taifa la Kizalendo kwa Drama za namna hii, labda Taifa la Content Creators, machawa na ving'ang'anizi waliochoka akili..
@Savasec Kuacha Soft drinks, kutumia sukari kidogo sana, kupunguza karanga, kufua mito na taulo, kutumia soap kama covex, kutafuta mafuta yatakayofaa kwa ngozi, kunywa maji mengi, mazoezi, kupunguza stress, kumuona daktari wa ngozi
@FamWorld2025 Sorry for what you went through. The pain may have changed you, but it doesn't have to define you. Leave behind the thoughts that keep hurting you and embrace the new chapter life is opening for you. Wishing you healing and happiness. 🙏❤️