#UZI
💨 WALE WA iPHONE TU: UKIIBIWA SIMU YAKO.
Watu wengi wanadhani wakipoteza iPhone basi mwizi ataishia tu kutumia kama simu ya kawaida.
Ukweli ni tofauti kabisa.
Shuka🧵🧵👇
#UZI
💨JINSI WANAVYOREJESHA MESSAGE ZAKO ZA WHATSAPP ULIZOFUTA.
Wengi tunadhani tukibonyeza "Delete for everyone" basi meseji imepotea kabisa…
Lakini ukweli ni kwamba, kuna njia za kitaalamu za kuzifufua tena.
Na hii thread itakufungua macho 👇
Ame tengeneza zaidi ya Milioni 15 kwa kufanya kazi za AI training.
Huu mchongo nlitoa mwaka jana, nkafanya online class mbili!
Hakuwepo kwenye training hata moja, ila alifatilia mwenyewe kutoka kwenye post yangu!
Matokeo yake 👇
If you’re looking for a way to earn big! Jitahidi sana kufanya research abroad (US) kwenye digital product.
Ukipata register a business there, hire a virtual assistant. Earn in USD, spend in TZS
Dunia iko mbali sana. Inawezekana pia UK, Estonia, UAE lakini US ni rahisi zaidi!
Umemaliza chuo una Bundle?
JIFUNZE HIZI SKILLS BURE LEO UPATE NA CHETI UDEMY| PROMOCODE ZIKO VALID WITHIN 24HRS tu.
1. Adobe After Effect
2. Complete Graphics Design
3. Microsoft Office:
4. Web Development
5. UIUX with Figma and Adobe XD
Repost #MadiniYaGaby
i have an uncle who responds to text messages after two months, no one knows where he lives exactly & he shows up when he wants to.
he's one of my role models.😭