@Psiteshio1 M niko hapa naisoma namba nimehama eneo nililokuwa naishi awali nikawajulisha nahama wakanipa maelekezo cha kufanya na wakasma nikishahamia niwajulishe waje wafanye survey nikafanya kila kitu na nilipo hamia fiber iko umbali wa 350m hv ila ndio kuunganishwa tena imekuwa mlolongo
@This_is_B3@assengajrr Hata vijijini siku hizi internet ipo kaka ttcl wanasambaza sana hadi ndani ndani huko shida tu inakuwa kupata strong internet ya kustream kwa quality ya kueleweka