@MTOTOWAK Mwezi uliopita nilikata tiketi shekilango, kumbe ni matapeli nilikuwa nasafari ya geita wakanikatia tiketi vizuri tuu tangu saa 11 jioni gari ikaondoka saa 3 usiku kesho yake tunafika tinde wakanishusha kunifaulisha kwenye basi lingine bovu balaa hakuna siti nikasimama hadi kahma
@Baradhuli2@miss___yanga@mangekimambi Usenge huuu, nchi inapitia changamoto nyingi zunazogusa maslahi ya taifa alafu kuna mbwa mavi kama hawa wanaleta drama kupoteza focus za msingi eg KUPANDA BEI YA MAFUTA GHAFLA. π
ALERT: Samia amepokea wito kutoka mahakama ya kimataifa ICC inayomtaka kuudhuria kesi yeye binafsi. Ametakwa afike kwa hiari kujibu shutuma dhidi yake zinazohusiana na mauaji ya alaiki. Akikataa, mahakama itatoa amri ya kumkamata. Wito ulipokelewa zaidi ya wiki moja iliyopita
@millardayo Alafu sisi tupo mtaani tunakula msoto na kiingereza chetu kizuri tuu baada ya kunywa konyagi π’ hii nchi inatiwa vidole sana , kidumu chama chao mapumbavu βοΈ
@KenyanSays Hii mavi akili Haina nimesikia makelele tuu hapo, Hawa matako ndio wanataka kuleta udini kwenye maswala ya kitaifa. Msilete mihemko kwa kutumia taharuki iliyopo kuleta hoja zenu za kipumbavu, zipo njia mnazoweza kifuata kabla na baada ya haya maswala ya kitaifa. Msitutoe relini
Acha wanyanyasike,wadhalilike na wateseke kama wanavyofanya kwa baadhi ya wanachi wasio kuwa na hatia yoyote, polisi wa nchi yetu wanafanyaga kazi ya liana sana. Malipo ni hapa hapa duniani.
Jana nilifarijika sana kuiona hii TAARIFA ya mateso anayopitia huyu baba ambae ni ASKARI MSTAAFU.
Ametumikia JESHI la polisi kwa zaidi ya miaka 30, alistaafu tangu 2020, mpaka leo anaishi kwenye MIKEBE (nyumba) za polisi, anadai hajalipwa bado madai yake.
Nao JESHI LA POLISI wameamua kumuendea kihuni kwa kutaka kumtimua kinguvu kwa kutupa nje mizigo yake ndani ya siku 7 akikaidi agizo la kutoka kwa hiari.
Hayupo pekeake kwa mujibu wa MAELEZO yake, wapo wengi wenye shida kama yake. Yeye ndio kajitoa muhanga kuja front kuongea dunia imsikie.
HAWA NI VIBAKA WASTAAFU hatutakiwi kuwaonea HURUMA hata kidogo. Hapa kinachotakiwa ni kukaa pembeni na kushuhudia huo unyama wanaotaka kufanyiana sisi ni kugonga CHEERS.π
Huu ni ujumbe mzuri sana kwenda kwa HAWA VIBAKA waliopo kazini saizi, wanajiona wao ni kama haya hayawahusu, wanajiona wao watakuwa na mwisho mwema. Poleni sana kwa kudanganya NYOYO ZENU, huu ndio mwisho wa kila POLISI TANZANIA.
Hakuna polisi mstaafu anaheshimika hata mtaani, wanaokena kama VICHAA, akili zao zimeruka, kuishi kwao ni kwa TAABU , hii ni kwasababu ya LAANA za machozi ya WATANZANIA waliolia kwaajili yao wakiwa makazini.
Ninaposema kila siku hii ni kazi ya watu waliolaaniwa muwe mnanielewa. @tanpol
SATIVA17π«‘
KURA FEKI ZAKAMATWA HAI
Kura bandia zimegunduliwa katika kitongoji cha Kibera, kijiji cha Lyamungo Kati, kata ya Machame Mashariki. Wakala wa CHADEMA akamatwa. Msimamizi wa kituo akiri hadharani kuwasaidia wapiga kura 'kuweka kura.'
@freemanmbowetz@ChademaTz@ortamisemitz
Baada ya mvutano mkali kati ya Nguvu ya Umma na Polisi wenye silaha
Hatimaye mgombea wa Chadema Mtaa wa Mtakuja kata ya Igoma ametangazwa mshindi usiku huu mbele ya Polisi wenye mitutu.
Tazama jinsi Mtaa ulivyokuwa na shangwee!