@AgiriteMedia All wrong answers. Each animal has its own unique weight. One can not just divide the total weight by the number of animals and then apply it to solve the problem. The correct answer is undefined
@godbless_lema CDM siyo tena chama cha siasa. Mmeacha misingi na malengo mahsusi ya katiba yenu na mnakukumbatia wanaharakati wa nje na ndani baada ya hila fanikishi za kuondosha wanachama waliotumikia CDM kwa jasho na damu kwa miaka mingi. Hatma yenu mmeiunda wenyewe.
@musk_news13 It is true that God does not make mistakes. That is why LGBTQ is a creation of God. It is us who has turned them into an illusion of a mistake because of intolerance, bigotry, and prejudice. All are God's children irrespective of sexual orientation.
@EduTalkTz Kutofautiana ni kawaida mno kwenye siasa, hata kipindi EL anahamia CDM wapo viongozi walipinga sana lakini hawakufukuzwa. Sasa mtu umetumikia chama kwa uadilifu miaka mingi unafukuzwa kana kama miaka yako yote haikufaa. Dalili mbaya za udikteta hizo.
@EduTalkTz Huenda uongozi CDM umefanya kosa kubwa mno kimkakati kutoshiriki uchaguzi 2025. Miaka ya 1990, 1995, 2000, 2005, 2015 na 2020 CDM walishiriki Uchaguzi, ndani ya mazingira magumu sana. Wanaosema 2025 waendelee kushiriki uchaguzi wakati wanapigania reforms wana hiyo haki ya msingi
@HecheJohn Wakodishieni ACT haya magari waweke nembo yao kwa ajili ya kampeni za uchaguzi. Ingalawa yatumike kuimarisha upinzani. Ni wazo tu limenijia.
@ChiefLumanyika Huenda alishatambua siyo rahisi kuin'goa CCM madarakani kwa uchafuzi uliopo boksi la kura, kukinukisha au kwa uasi, ila inawezekana kwa njia mbadala ya kwanza kuingia serikali ya mseto na kuepusha umwagaji damu usio na ulazima. Huenda njia hiyo ndoo sahihi kwa mazingira yetu.