NDOTO AMBAYO UTAKIWI KUMWAMBIA MTU YOYOTE YULE LABDA UWE UNAMWESHIMU SANA KWENYE MAMBO YA KIROHO !!
Nianze kwa kukuambia Kwamba unapo ota ndoto kuna vifwatavyo vitakavyo kutokea
1; Unaonywa
2; Unatadharishwa
3; Unaoneshwa mwelekeo
4; Unaoneshwa ufunuo ( au mambo ya sirini)
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰
👉 Size S,M,L,Xl,& XXL
👉Bei 25,000/=
https://t.co/bkonJGPQ2J
Au 0713800448
📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
@anuskills3 Daah sema ni Bora angeendelea kukaa kimya alivyoongea amezingua sana sema kweli nimeamini elimu ni muhimu sana jamaa ukimsikiliza unaona ni uneducated kabisa yaani😂
@EsirEid Kuna sehemu nimeona mtu amesema ni Bora angeendelea kujiuguza nyumbani tu huenda angekua hai amekaa mwaka mzima nyumbani bila huduma za uhakika na aliishi ila ni kama alipelekwa machinjioni dah so dad tutaendelea kumuachia mungu Hadi lini💔
@MkulimaKante Lukuga amemfungulia milango mingi ya fursa baba levo ndo maana hata akimuongelea anamuongelea kwa heshima na lukuga nae anamuheshimu baba levo amchukulii kama chawa
@pastajoshuatz Bongo nadhani kitu kikiwa na uhitaji mkubwa kwa watu wengi hata kama hakideserve kuwa na price fulani kinapandishwa bei tu kiholela sababu watu wengi wananunua hadi pikipiki sahivi zinagonga 3M ni noma
@FaradayMtz01 Elimu haina uhusiano wowote na mtu kuwa na hela au kutokua na hela elimu inamsaidia mtu kuwa na ufahamu wa mambo mbalimbali na kumuondelea ujinga na ndo maana Kuna watu Wana hela ila hawana maarifa
Unajua kuna uwezekano mkubwa ndani yako unaishi na mtu usiyemfahamu na hujawahi kukutana naye? Unapanga mengi lakini hufanyi kwa sababu mtu huyu ndani yako ana hisia zake, ana matarajio yake, ana mipango yake, na wakati mwingine anafanya kabisa maamuzi kwa niaba yako na wewe unabaki kuwa mtekelezaji tu?
Nikupe mifano. Hujawahi kulipuka kwa hasira kwa jambo ambalo baadae ulilijutia? Unakuja kuomba msamaha lakini tayari umeshalikoroga. Umeharibu. Hujawahi kukutana na mtu humjui kabisa lakini basi tu humpendi na huna sababu? Fikiria ile tabia usiyoipenda kabisa lakini ndio inakutesa. Hadharani unashauri yale yale yanayokuungurumisha ukiwa mwenyewe. Huoni kuna mtu anayeishi ndani yako na hujamjua bado?
Hili ni moja ya mambo magumu sana ambayo ushunuzi (saikolojia) unajaribu kuyaelewa. Nini hasa kipo nyuma ya tabia zetu? Je, uwezo wa kuamua nini ufanye ni jambo rahisi kama tunavyopenda kulieleza? Kama ni rahisi hivyo kwa nini mengi tunayoyataka hatuwezi kuyafanya, lakini yale tusiyoyataka ndiyo tunayoyafanya? Kiroho, nguvu hii huitwa dhambi.
Kwenye ushunuzi nguvu hii ni wewe usiyemjua, ambaye kwa jina rahisi tunamwita kivuli, sehemu ya nafsi yako uliyojaribu kuificha tangu utotoni. Huyu ni yule wewe aliyekemewa, wewe aliyecharazwa viboko, wewe aliyezomewa, wewe aliyemkasirisha mzazi, mwalimu au mtu mwingine muhimu kwako. Kivuli ni mkusanyiko wa hasira, wivu, husda, tamaa, ubinafsi, uwezo na hata vipawa uliyofundishwa kuwa ni aibu kuvionesha.
Uliificha sehemu hii ya nafsi yako kwa nia njema—kukubalika, kupendwa na kuaminika na wazazi lakini haikupotea. Sehemu hii ilitafuta mahali ikajibanza na kutulia tuli lakini ikiendelea kufanya kazi kimya kimya chini ya uvungu wa ufahamu wako. Unarudia makosa yale yale, unafanya maamuzi yale yale ya kijinga, unagombana na watu wema kwa sababu ndani yako kuna mtu aliyejificha na anafanya kazi ya kuongoza tabia zako bila kukutaarifu. Usipotafuta namna ya kushughulika naye utasoma sana lakini tabia zako zitabaki zile zile.