Strong message from @ReinholdLopatka : @TunduALissu is a tireless advocate for human rights and democracy. Even after 500 days in prison, Tundu remains steadfast. We stand with Tundu!
Hakuna UBISHI kwamba; Rais SAMIA SULUHU HASSAN ni MTU. Kwa hiyo, kwa kuwa chini ya Ibara ya 13(1) ya KATIBA ya Tanzania, watu wote ni SAWA MBELE YA SHERIA, naamini Rais SAMIA SULUHU HASSAN atakwenda MAHAKAMANI kumtetea TUNDU LISSU.
The IDU is gravely concerned by today's High Court ruling in Dar es Salaam ordering our Vice Chairman @TunduALissu to stand trial for treason — a charge carrying the death penalty.
After 16 months in detention for a speech, this ruling prolongs a politically motivated prosecution designed to silence Tanzania's opposition. We call for his immediate and unconditional release, and urge democratic governments worldwide to do the same. #FreeTunduLissu 🇹🇿
‼️HUJUMA DHIDI YA CHADEMA🚨‼️
Huyu kwenye picha anaitwa John Marwa ni mmiliki wa Jambo Tv nimesoma mahali kuna mtu anasema huyu ni rafiki wa CHADEMA.
Kuna maswali nimejiuliza nikaona nilete hapa ili tutafakari pamoja.
Hivi inawezekenaje mtu ambae ni rafiki wa CHADEMA wakati huo huo anawafuata watu wenye pages kubwa kwenye mitandaon ya kijamii, wenye mlengo wa CHADEMA kisha anawaomba wamuuzie pages zao wakati anajua fika kwamba hizo pages ni msaada mkubwa sana kwa CHAMA yani huu ni urafiki wa aina gani???
Rafiki gani ambae nyuma ya pazia anapambana kupunguza sauti ya CHADEMA kwenye social media maana kwa ufahamu wangu mtu ambae anapambana kutaka watu wamuuzie pages ambapo zinapush mambo ya CHADEMA, lengo lake kusilence sauti supporters na watu wa CHADEMA kwenye social media.
Mind you, huyu John Marwa ndo alinunua hata zile Pages za Chadema Media ya YouTube na Twitter (X) zenye follow zaidi ya laki saba na ushee, pages ambazo watu wa Mbowe waliondoka na password zake walimuuzia huyu John Marwa then yeye kazibadilisha jina anaziita ROYAL TELEVISION PLUS na wakati ananunua alikuwa anajua fika kwamba hizi ni pages za CHADEMA ambazo wanazitegemea sana
Yani ni sawa wezi waingie kwako wakuibie TV, then hiyo Tv wakamuuzie rafiki ako na yeye anunue huku akijua fika kwamba hiyo TV imeibiwa nyumbani kwako halafu anaendelea kujinasibu kwamba yeye ni rafiki ako, sasa huu ni urafiki wa aina gani?
Ndo maana Mimi nikionaga mtu wa CHADEMA kapost video yenye Logo ya Royal Media Au Royal Television Plus huwa natamani hata kumtia kwenzi kwasababu naona anaunga mkono hujuma dhidi ya CHAMA maana hizo page zlikuwa za CHAMA, Madalali wa Siasa wameiba wakamuuzia John Marwa na yeye alinunua huku akijua fika kwamba ni mali ya CHADEMA.
Binafsi mtu au Kiongozi hata ufanye press iwe nzuri kiasi gani, ukinitumia video kama iko na Logo ya ROYAL TELEVISION PLUS au Royal Tv siwezi kupost maana naona kama nashiriki kuhujumu CHAMA.
Cc. @HecheJohn@jjmnyika@amanigolugwa@BrendaRupia
Nauliza - hivi chama cha Madeleka alichoachana nacho hivi karibuji ACT walitoa tamko kutaka aachiwe hadi muda huu?
Just asking maana sijaona lakini inawezekana nimepitiwa! Mambo ni mengi na ni weekend
Eniwei #FreePeterMadeleka huu ujinga tuache kama Taifa!
Sasa huyu Girishoni anakataa vipi kuwa serikali yao haramu haihusiki wakati Mwenyeketi wa Tume ya Uchaguzi Jacob Mwabegele na Mkurugenzi wa Uchaguzi Ramadhani Kailima wapo Lusaka Zambia na wanatoa ushauri huko?
Na tushawalipua tusisikie mmekimbia kurudi
CONFIRMED! The Chairman of the Tanzania Electoral Commisson Mwabegele and its Director Kailima are in Lusaka right now!
These are the main culprits behind Tanzania’s electoral coup that saw Samia Suluhu sworn in at an army base in November 2025
What is this duo doing in Lusaka????
Take a guess! 🙄
Abelardo ameapishwa kuwa Rais mpya wa Colombia, 7 Agosti 2026, akichukua madaraka baada ya kushinda uchaguzi wa rais wa mwaka huu. Kuapishwa kwake kunaashiria mabadiliko makubwa ya kisiasa kuelekea upande wa kulia, baada ya kipindi cha utawala wa mrengo wa kushoto, wa Petro.
Katika kura ya kwanza, Rebeca Grynspan wa Costa Rica aliongoza kwa tofauti ndogo, akifuatiwa na Carolyn Rodrigues-Birkett wa Guyana na Rafael Grossi wa Argentina.
Chanzo: Reuters
#JibridNews#BreakingNews#UN#UnitedNations#SecurityCouncil
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuwa mazungumzo mapya kati ya Marekani na Iran yataanza Jumatatu, baada ya kuamua kusitisha mpango wa shambulio kubwa la kijeshi dhidi ya Iran lililokuwa limepangwa mwishoni mwa wiki.
Chanzo: Reuters
(Pre-Session Meeting) kwa ajili ya maandalizi ya shauri.
Kesi itasikilizwa katika Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, kwa njia ya mtandao kwa baadhi ya hatua za awali.
Source: High Court of Tanzania (Court Notice).
#BreakingNews#JibridNews#Tanzania#HighCourt#TunduLissu
Tanzania High Court, Kanda ya Dar es Salaam, imepanga kuanza kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu kuanzia Aug.10- Sept 7, 2026.
Kwa mujibu wa waraka wa mahakama wa tarehe 31 Julai 2026, kabla ya kuanza kwa usikilizwaji huo kutafanyika kikao cha awali ..
Mahakama ya Rufani ya Tanzania leo imetoa uamuzi katika maombi ya marejeo (Criminal Revision) yaliyowasilishwa na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) dhidi ya Tundu Antipas Lissu. Kwa mujibu wa uamuzi huo, Mahakama ya Rufani imetupilia mbali maombi ya DPP.
Wataalamu wa afya wanaonya kuhusu ongezeko la maambukizi ya Mycoplasma genitalium (MG), ugonjwa wa zinaa unaozidi kuzua wasiwasi duniani kutokana na kutokuwa na dalili kwa wengi na kuongezeka kwa usugu dhidi ya baadhi ya dawa za antibiotiki.
Source: BBC
#Health#MG#STI
Mwezi kamili "Buck Moon" umeonekana katika maeneo mbalimbali duniani usiku wa Julai 29, ukiashiria kilele cha majira ya kiangazi katika Kaskazini mwa Dunia na kuandaa mazingira ya matukio muhimu ya anga yatakayofuatia mwezi Agosti, ikiwemo Total Solar Eclipse.
Source: Forbes
Saudi Arabia inatafuta kuunda muungano wa kimataifa wa kulinda usafirishaji wa meli katika Bahari Nyekundu, kufuatia mashambulizi yanayoendelea ya waasi wa Houthi dhidi ya meli za kibiashara, kwa mujibu wa vyanzo vilivyozungumza na Reuters.
#BreakingNews#SaudiArabia#RedSea