Wanangu ambao hamjakata tamaa na maisha bado mpo kitaa kuna PROGRAMME imeanzishwa na VETA.
Ni unalipiwa ada ya masomo kulingana na kozi utakayotaka kusoma lakini ni kwa kutwa tu nauli ni juu yako mpaka utakapohitimu.
Kwa kifupi unalipiwa Ada, naombeni mchangamkie hii fursa, hatakama sio wewe sanueni wadogozenu.
Ukiwa interested fanya wepesi mwisho ni tarehe 14 mwezi huu.
Tangazo naliweka hapa.