@TzFootballers Build up majanga hatuna playmakers hata mmojq wakukaa na mali na kuamua timu icheze inaonekana tutamtegemea zaidi Mzize kukimbia na mipira.
@MswatiKing_01@MrossoArobogast Under fadlu wachezaji wengi wamekuwa flop tuseme ukweli,Deborah, Nouma si yule tena,Ateba alianza na moto,ladack,kibu mpk akaanza kuwa sub mechi za mwisho.