@lifeofmshaba nisaidie kuwaambia hamna namna watatuzuia maana tukikaa ndani watatuua vile vile kama tukiwa huko barabarani..so ni bora wakanitwangie risasi rodini huko nikipigania haki za watanzania kuliko wakinipigia ndani nikiwa nakula zangu mayai ya kuchemsha na chai.....
@JamiiForums ni wakati sasa wa kufanyia mabadiliko ule wimbo wa taifa hasa ile vesi wabariki viongozi wake.....maana badala ya baraka naona wanazidi kuwa laaanafu .....๐โโ๏ธ
@PMadeleka wasichojua tanzania wengi umeme unao tumika kwenye sgr unatoka bwawa la akasombo..na hauingiliana kabisa na huu wa la nyerere mtera wala nyumba ya mungu...
Sababu za Muammar Gaddafi kuuawa:
1. Libya haikuwa na bili ya umeme; umeme ulikuwa bure kwa wananchi wote.
2. Hakukuwa na riba kwenye mikopo; benki zilikuwa za serikali na mikopo kwa wananchi ilikuwa na riba ya 0% kisheria.
3. Gaddafi aliahidi kutonunua nyumba kwa wazazi wake hadi kila Mlibya awe na nyumba.
4. Wanandoa wote wapya nchini Libya walipokea dinari 60,000 kutoka serikalini ili wanunue nyumba na kuanzisha familia zao.
5. Elimu na matibabu vilikuwa bure nchini Libya. Kabla ya Gaddafi kiwango cha kusoma kilikuwa 25% tu, lakini kilifika 83% wakati wa utawala wake.
6. Walibya waliotaka kuishi mashambani walipewa vifaa vya nyumbani, mbegu na mifugo bure.
7. Ikiwa mgonjwa hakuweza kutibiwa Libya, serikali iligharamia zaidi ya dola 2,300 pamoja na malazi na usafiri kwa matibabu nje ya nchi.
8. Ukilinunua gari, serikali iligharamia 50% ya bei yake.
9. Bei ya petroli ilikuwa dola 0.14 kwa lita.
10. Libya haikuwa na deni la nje, na ilikuwa na akiba ya dola bilioni 150 (ambazo sasa zimefungiwa duniani kote).
11. Ikiwa wahitimu walikosa kazi baada ya shule, serikali iliwalipa mshahara wa wastani hadi wapate kazi.
12. Sehemu ya mapato ya mafuta iliwekwa moja kwa moja kwenye akaunti za benki za wananchi.
13. Mama aliyejifungua mtoto alipokea dola 5,000.
14. Mikate 40 ilikuwa inauzwa kwa dola 0.15.
15. Asilimia 25 ya Walibya walikuwa na vyeti vya elimu ya juu.
16. Gaddafi alitekeleza mradi mkubwa zaidi wa umwagiliaji duniani uliojulikana kama โGreat Man-Made River Projectโ kuhakikisha upatikanaji wa maji jangwani.
Kama huu ndio unaitwa โudiktetaโ, Basi demokrasia ni nini..??? Funguka kwa comment.
Cc Kanyamala Media