Kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo Simba SC walipaswa kuboresha kikosi kwa kusajili wachezaji wa daraja la Juu ili kuongeza ubora wa timu.
Safari ya Dubai haitakuwa na mchango kama huna wachezaji bora.
●Hata ukiweka Kambi Mwezini kama huna wachezaji bora huwezi kufanikiwa.
@SimbaSCTanzania Pira biriani mtacheza trh 7 ila leo tunaomba ushindi kwa kila namna wachezaji msituangushe bc jana mtani kadrooo leo cc tushinde tupunguze gap la point