70% ya vijana kati ya miaka 16-24 wanahusika katika maamuzi ya kifedha kwenye kaya zao, lakini wengi wao bado wanategemea ushauri wa kifedha kutoka kwa familia na marafiki.
Kwa takwimu zaidi za vijana na huduma za fedha, soma jadala la FinSights Lab: https://t.co/OxpHzwJneb
Tazama tamthilia ya IBUA! Msimu wa 2, sehemu ya 5. Moza amekuwa akipewa ushauri mzuri sana na mama Malengo kuhusu namna ya kutunza daftari la mahesabu ya biashara yake. Lakini, daftari limekaa sawa kweli? https://t.co/v3ZYZzxmu3
@TYVAvijana@FeminaHip@MsichanaUwezo@YUNATanzania
1% tu ya vijana kati ya miaka 16-24 wana hati miliki, moja ya vitu muhimu kwa ajili ya kupata mikopo. Je, watoa huduma za fedha mnalionaje hili katika kumfikia huyu kijana?
Kwa takwimu zaidi za vijana na huduma za fedha, soma jadala la FinSights Lab: https://t.co/OxpHzwJneb
80% ya vijana kati ya miaka 16-24 hukopa kutoka kwa familia na marafiki. Ni vikwazo gani katika taasisi za kifedha vinavyosababisha hali hii?
Kwa takwimu zaidi za vijana na huduma za fedha, soma jadala la FinSights Lab: https://t.co/UGJYa0SRtf
86% au milioni 6.2 ya vijana kati ya miaka 16-24 hawana akaunti za benki. Hii ni fursa ya Tsh. Bilioni 628 kama kila kijana wa rika hili akifungua akaunti na kuweka Tsh. laki 1. Kwa takwimu zaidi za vijana na huduma za fedha, soma jadala la FinSights Lab: https://t.co/UGJYa0SRtf
1% tu ya vijana kati ya miaka 16-24 wanakopa kwenye mabenki, wakati 8% ya vijana hawa hukopa kwenye vikundi vya kifedha. Hali gani inachangia vijana kukimbilia vikundi kupata mikopo? Kwa takwimu zaidi za vijana na huduma za fedha, tembelea: https://t.co/UGJYa0SRtf
Vijana milioni 13.2 kati ya miaka 16-24, hawana bima ya afya. Hii ni fursa ya Tsh. Bilioni 52.8 kwa watoa huduma za bima. Je, watoa huduma za bima waongeze nguvu wapi kushawishi vijana kuhusu bima? Kwa takwimu zaidi za vijana na huduma za fedha, tembelea: https://t.co/UGJYa0SRtf
Mpaka sasa utakuwa unasubiri kwa hamu sana tamthilia ya IBUA msimu wa pili ambayo itaanza rasmi Jumatatu 31 Agosti, saa 9 mchana. Anza wikiendi yako vizuri kabisa na kionjesho cha episode 6 cha msimu wa pili.
Msimu wa pili wa tamthilia ya IBUA unaanza rasmi Jumatatu 31 Agosti, saa 9 mchana. Kama ulikosa msimu wa kwanza, usihofu, hii wikiendi ni ya kwako. Tazama episode 5 ya Msimu wa kwanza kujikumbushia:
Wikiendi ndio hiyo imewadia, na hakuna njia bora zaidi ya kuanza wikiendi yako zaidi kuanza na Tamthilia ya IBUA msimu wa pili. Utacheka, utajifunza, na utafurahi. Hakikisha unamuonjesha na mwenzako. Tunaanza Jumatatu 31 Agosti, saa 9 mchana, lakini leo tunakionjesho