@wikoloBilal Mazembe ile dhoofu hakuwa anaanza na wakiwa kwa Mkapa Yanga waliwapasua vibaya.
Sio kwamba hakupata muda wa kucheza, huyu ni feo. Alikuwa mzuri zamani na kwa sasa ni moments tu zinaamua ila hana kiwango cha kuchezea big 3 hapa Tz hata kuwepo benchi
@MinjaTheDon_01@ThomzJoseph Ukiangalia namna ulivyoweka alama ? nyingi sana kwa haraka unaweza kusema umeuliza maswali ila hamna kitu.
Katiba ya Yanga inaeleza kuwa rais wa klabu si mwajiriwa na halipwi mshahara. Sasa kama unakataa hili thibitisha madai yako na si hisia pekee tuambie umepatia wapi hayo.
@MinjaTheDon_01@ThomzJoseph Rais wa Yanga si mwajiriwa wa Yanga na halipwi kwa mujibu wa mfumo ulivyo.
Unaoaswa kuwa na kazi mbadala ili uwe rais wa Yanga au makamu maana hakuna mshahara.
@Tinahcristiaan@SharonMontana20 Iweke hivi "anatumia" sio "unatumia" maana mimi sina mzunguko wala siku za hatari. Yote kwa yote maelezo yamenyooka sana kudos 🙏
@George_Ambangil Huyu janja kila timu ikiwa na changamoto ndio tiba.
Msimu ule alizima sana mbavu ya kushoto na msimu jana amezima middle wakati ambapo kiungo iliyumba na majeraha milioni ila akasimama tena.
Huyu ni "football heritage" sawa na Saka hawana thamani ya pesa kwa sasa 😂