Kwanini wababa wa kiafrika wanakuwaga wababe sana kwa watoto wa kiume..?
Mimi nilikatazwaga kujifunga taulo na kutembea kifua wazi home,kunyoa kipara,nikakatazwa na kupiga nondo eti nakula sana..๐
Lubasha anavyosifia(ga) ndoa humu utafikiri ni jambo la maana. Hakuna taasisi miyeyusho duniani kama ndoa. Ushauri wangu kwa vijana ni ule ule wa kila siku #KataaNdoa upate amani na furaha ya maisha.
Kama unapita Morogoro Road na una Private Not Public Transport ๐๐๐
Simama Hapo Ubena nicheki dk 5 nikuletee kifurushi Vijana wakajirambe.
Zingatia Neno Usafiri Binafsi..
Another day to be extraordinary, GoodMorning
Hapo tutakuwa hatuendi na pass za kusafiria wala wao hawaji na vitambulisho na aridhi tutaruhusiwa kumiliki zanzibar na wao wataruhusiwa kumiliki aridhi Tanganyika naomba kuuliza?
Niliwahi muhoji afisa mmoja anae hudumu kwenye mizani congo,mbona mizani yenu mnapima tu gvm kujua uzito wa mizgo inayo ingia na sio kukamata gari zinazo zidi,akajibu,ulishawahi onawapi udongo wa mungu umekanyagwa na gari na ukatoweka?.wewe pakia kadiri uwezavyo kinatacho potea au kuharibika ni gari yako nasio udogo wa mungu.๐๐๐