@SamakiOnline@Adventure_36 Mnamuonea tu simba...umeme umekatika uwanja wa taifa game ya kitaifa shughuli ya kitaifa na taifa nzima lipoo pale hahaha...
@PresenterNoah@Slickvill3 Huko unakutana na harold finch akili mingi sanaa..root na sameen mademu wanamwaga chugu balaa,upinzani wa machine na samaratan