"Atakayekufaa kesho si lazima awe nacho cha kukufaa leo. Yule atakayekuwa wa msaada kwako baadae wakati mwingine huja kwako kama mhitaji wa leo." ~Togolani Mavura.
"Subra haipimwi kwa urefu wa muda uliosubiria ukiwa na matumaini, bali hupimwa kwa urefu wa muda uliosubiria kuanzia pale unapoanza kukata tamaa." ~Togolani Mavura.
"Uko hapo ulipo, pazuri au pabaya sababu ama kuna mtu alikuwahi huko nyuma akakuambua ukweli uliokusaidia, ama hakukuambia ukweli kwa wakati sahihi, au alikuambia ukweli ambao ungekusaidia lakini ukaupuuza. Kesho yetu inaumbwa na ukweli au uongo tuliouamini na kuaminishwa jana."
Baada ya Mwenezi wao Ganja Mbichi na Wassira kushindwa kujibu hoja MAJUKWAANIโฆ Yameona yarudi kwenye MABAVU ya kutumia polisi! PATHETIC!
#FREELISSU#KatibaMpyaNiSasa