@George_Ambangil unataka Arsenal ajibu mapigo ili aende wapi?Eti ili ajiweke kwenye nafasi ya kushiriki UEFA, kwa misingi gan? hawaendi mahal popote hao na rais wao. Hiyo ndio hatima yao.
Arsenal kipindi cha pili wanatakiwa kujibu mapigo , kuwa match Newcastle wanachokifanya , ongeza intensity , weka presha kwenye mpira hasa kwa Bruno Guimaraes ( ana detect the game huyo )
Arsenal kipindi cha pili wanatakiwa kujibu mapigo , kuwa match Newcastle wanachokifanya , ongeza intensity , weka presha kwenye mpira hasa kwa Bruno Guimaraes ( ana detect the game huyo )
Kabla Oct nitarudi upya Youtube kuendelea na SEASON 2. Ukiacha contents nilizoziandaa kwa miezi 11, pia tutakuwa na podcast session kila wiki.
Wageni wangu watakuwa strict entrepreneurs waliofanikiwa in their fields.