@23__Marley You have done exactly the right way of branding yourself. When you read all tha I wrote you will realise it is somehow and more what you have done 👏🏽
@Tanganyikan@papokwapapotz@PapiChulo_Chuly@DancingMulumbu Umemaliza kabisa hapo. Nadhani waligeuzia jiwe kwenye nyumba tofauti na iliyowaumiza ila tunaelewa maumivu yanasababisha kurusha kotekote. Tutapona tutavuka tutashinda, wote 👊🏽
@IdrisSultan Kaka kukusaidia kuweka rekodi sawa hiyo ilikuwa hashtag ya kukusanya maswali kwa ajili ya @papokwapapotz podcast ya @PapiChulo_Chuly na ulipokea maswali mengi ya kidwanzi ikiongozwa na @DancingMulumbu https://t.co/nGcWDhGBOH