@TzKwo@IAMartin_ Yaani mmebaki manyumbu tu ya kudanganyana na kufarijiana ujinga! Subiri 28 oct mtalia kilio cha mbwa koko mdomo juu!! Na mlivyona akili mbovu mtu akiwaambia ukweli mnampiga tofauti, mkiongozwa na nyumbu mkuu @kigogo2014 . Kalagabaho
Nawashukuru wana CCM wote na Watanzania wa vyama vyote kwa kujitokeza katika uzinduzi wa kampeni za CCM 2020 Jijini Dodoma. Pia nawashukuru wasanii, waandishi wa habari, viongozi wa Dini, n.k waliojitokeza kuniunga mkono katika uzinduzi huu. Maendeleo hayana chama. Tanzania Hoyee
@kigogo2014 Mnarudia matapishi yenu? Endeleeni kushangilia kama nyumbu! Bado Tz hakuna wapinzani, zaidi ya wavutia matumbo na wapinga kila kitu! Pole pole mtaeleea! Mmejilisha upepo subirini kupasuka matumbo. Paka sume nyie!!
@kigogo2014 Hivi ile bila tume huru hakuna uchanguzi, imeishia wapi? Maana mpiga debe mkuu ulikuwa wewe @kigogo2014 . Au sasa mmeona inafaa! Tukiwaambia ninyi makapi mnaona tunawatukana! Tulieni tu dawa itawaingia! Hizo siasa za makelele zitaisha kama zilivyoanza! Ngoja mfundishwe na CCM
Kama ulivyo mshale, ili uende mbele kwa kasi na mbali katika safari yako ya maisha, inabidi urudi nyuma kidogo ukusanye nguvu ya kwenda mbali na kasi. Usiogope kurudi nyuma kimkakati kutafuta upenyo wa kwenda mbele. Hata mshale hurudi nyuma katika upinde ukibaki kutazama mbele.
Benki ya Dunia leo tarehe 01 Julai, 2020 imeitangaza Tanzania kuingia UCHUMI WA KATI.Nawapongeza Watanzania wenzangu kwa mafanikio haya.Huu ni ushindi mkubwa na kazi kubwa tumeifanya, tulipanga kuingia uchumi wa kati ifikapo 2025 lakini tumefanikiwa 2020.MUNGU IBARIKI TANZANIA