@kigogo20I4@ACTwazalendo Baada y kuchunguza kwa zaidi y nusu saa hii account nikagundua huyu fake na nimeona makosa 2 kosa la 1 kwny na la 2 eti lissu ajiunge na Act
@bbcswahili Yote aliosema professor nayakubali ila na jingine ni hili "ubabe mwingi kushiriki vita xn vita ndio 7bu kuu hasa ya kuengeza or kuleta umaskini ktk nchi"wajitasmini na hili.