Rais JPM ameagiza Wakazi wa Kibiti kujisaidia kwenye vyoo wanavyotumia DC na DED wa Kibiti majumbani mwao kufuatia soko la Kibiti kukosa choo. “natoa wiki moja DC na DED jengeni vyoo hapa, wafanyabiashara kuanzia leo msilipe ushuru hadi wajenge vyoo na kwa sasa tumieni vyoo vyao”
Rais Magufuli amemteua Luteni Kanali Patrick Kenani Sawala kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mkoani Pwani akichukua nafasi ya Juma Njwayo ambaye uteuzi wake umetenguliwa.
#MillardAyoUPDATES
Mbunge wa Viti maalumu aliyemaliza muda wake akiwakilisha Vijana Mkoa wa Kagera, Halima Bulembo ameongoza tena katika Uchaguzi wa kura za maoni zilizopigwa leo kwa kupata kura 35 akifuatiwa na Johanfaith Kataraia mwenye kura 9, watatu ni Koku Rutta kura 2.
#MillardAyoUPDATES
#MICHEZO Klabu ya @azamfc imekamilisha usajili wa aliyekuwa kiungo wa Kagera Sugar, Awesu Awesu kwa mkataba wa miaka miwili na anakuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa na klabu hiyo kwenye dirisha kubwa la usajili.
Asante #Dodoma, nimekuwa mtu wapili katika uchaguzi wa kura za maoni, (UBUNGE VITI MAALUM VIJANA DODOMA) zilizofanyika leo Mungu awabariki sana wana Dodoma wenzangu, safari ndo imeanza. Viva vijana viva💪🏽✅
@dicksonmisana3@eastafricatv@TunduALissu Ni hivi,kuna baadhi ya viungo hasa vile vinabeba mfumo mzima wa mwili kama vile uti wa mgongo,akili,mapafu nk vikiwa exposed kwa vitu km bullets ukifanya haraka kuitoa utatengeneza kidonda cha ndani ambacho kupona sio rahisi na kitaleta uozo(gangrene) badala ya tiba