@Smith_JeffreyT@tafimhaka if and when they wake up will you like the change? say they form a monetary union and ditch the dollar as well as liberate themselves economically ...
@PMadeleka ni maneno tu lakini uhalisia ni uleule ... mama asiye na bima au hana vifaa vya kujifungulia na hospitali pia haina vifaa atahudumiwaje? wewe ungekuwa nurse au daktari ungekubali kushika damu za wagonjwa bila gloves?
Tulipe kodi mkanunue magari ya kifahari na mkiwa na misafara yenu mnatuweka kwenye foleni masaa!
Tulipe kodi mafisadi wazitafune halafu mnachekeana, na report za CAG mnafungia kabatini.
Tulipe kodi halafu tukihoji udhaifu wa serikali mnatuteka, kututesa na kutuua!