the deepest lesson we learn from surah maryam is that at times, you may feel so lonely and helpless that you wish you could just simply disappear, but seeking refuge in Allah is the only way to overcome even the darkest of moments
Kila Mtu anapaswa kukariri Aya 10 za kwanza za Sura Al Kahf na kuzisoma kila siku, pia tunapaswa kusoma Sura nzima kila Ijumaa kwa ajili ya kujikinga na Fitina ya Dajjal, Watoto wanapaswa kufundishwa hili pia, Fitina inayotuzunguka inatisha, Mwenyezi Mungu atulinde sote.